Pongea timu ya JF kwa taswira (appearance) nzuri ya pages. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongea timu ya JF kwa taswira (appearance) nzuri ya pages.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mimibaba, Jun 11, 2011.

 1. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza sana JF team kwa kudeploy technology kwenye kurasa zetu, zina muonekano mzuri na facilities/tools nyingi.

  Sijui ni office 2010 or whatever. Mimi nimefurahishwa nayo sana naomba wenzangu tuzipongeze hizi jitihada za JF team maana wana vision thabiti ya utoaji wa huduma hii.

  Nadhani na wenzangu mmeona
   
Loading...