Mawaziri angalau watatu wa Kikwete wajiuzulu mara moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri angalau watatu wa Kikwete wajiuzulu mara moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntemi Kazwile, Jun 11, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kufuatia kosa la uhujumu uchumi lililotokea Novemba 26, 2010 la Ndege ya Jeshi la Qatar kuingia nchini na kubeba shehena kubwa ya wanyama hi, ni wakati sasa wa mawaziri kujiuzuru kwa kuifedhehesha serikali yao na nchi inayowalipa mishahara.
  • Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi - Twiga ni mnyama mkubwa ambaye huwezi kumsafilisha ukiwa umemficha na kwa kuwa watendaji walio chini ya waziri Nahodha walishindwa kutekeleza wajibu wao, waziri anayehusika na wizara hii ajiuzuru na asipojiudhuru afukuzwe kazi mara moja.
  • Waziri wa Ulinzi na JKT - Ni hatari mno kama mtu anaweza kuingiza ndege bila kufuata utaratibu na bila kujua ni kitu gani ndege hiyo inachukua kutoka kwenye taifa hili na akaondoka bila hata kushitukiwa au kuzuiwa, achilia mbali ikiwa imebeba wanyama hai ambao wamechukuliwa bila vibali sitahiri... kama alishindwa kujiuzuru kwenye skendo ya mabomu itakuwa ajabu kama hii itashindwa kumuondoa!
  • Waziri wa Mali Asili na Utalii - Kama wanyama wetu wanatoroshwa kwa madege je ni wangapi wanatoroshwa kwenye magari mipakani????
  Baada ya hawa kuwa wameondoka, Rais awastaafishe wafuatao kwa manufaa ya taifa:
  1. IGP Mwema
  2. Mkuu wa majeshi ya ulinzi
  3. Mkuu wa Usalama wa Taifa (kama idara hii bado ipo)
  4. Wakuu wa polisi wa wilaya walimopitishwa wanyama hawa
  5. Mkuu wa polisi mkoa wa Arusha
  6. Mkuu wa Mkoa Arusha (yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa taifa)
  7. Mkuu wa uwanja wa ndege wa KIA
  Tukio hili huenda ni makusudi ya Mungu kutujulisha jinsi nchi yetu inavyolanguliwa na jinsi gani nchi yetu ilivyokosa maadili.

  Sidhani kuwa enzi za Mwl Nyerere kungetokea mgeni akawa na guts za kufanya hujuma iliyofanyika 26 November 2010! Sidhani kuwa hili lingewezekana enzi za akina Gen Musuguri!
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Halafu tukiambiwa serikali yetu ni kichwa cha mwendawazimu tunakuwa wakali??
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umesema vema, lakini serikali yetu ina masikio?
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwa maana hiyo serikali yote ijiudhuru kushindwa kusimamia vizuri mali za asili zetu mpaka madege ya nje yanajibebea kama hazina mwenyewe.(Kichwa cha mwendawazimu) Actualy they will present a weak case in court, kujiosha then its over, tungoje tuone!!!!!
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mna lalamika nini, hamjui hii nchi inatakiwa kuwa OIC? Hao waliochukua wanyama sio makafiri bali ndugu zetu wanajumuia ya OIC, hivi kweli mnataka waungwana said, naodha, hussein nk wajiuzuru? kwa kosa gani? Msilete masihala hapa.
   
 6. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii habari mpya, lini walitorosha? Thread ipi hiyo?
   
 7. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama Ngereja kashindwa kujiuzulu kwa kuliingizia taifa hasara ya mabilioni ya pesa kwa ahadi hewa za umeme, itakuwa hao? Nafikiri ni ndoto, kwa sababu hatuna utamaduni kama huu.
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usinikumbushe msuguri yule ni mzalendo wa kweli kipindi kile jeshi lilikuwa jeshi kweli,sasa hivi hili la vitambi we acha tu,
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa nchi yeye safari kila kukicha, he doesn't give a damn about what's going on in this country!
  Hawa wanyama iko siku wataisha wote.
   
Loading...