Swali la leo.

Swali la leo.

std7

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
2,411
Reaction score
4,189
Hivi kwa nini baadhi ya wanachama cdm wanapenda kujibu hoja zinazokikosoa chama chao kwa keajeli, dharau, na hata kwa matusi. je? aidhihirishi wazi siku cdm ikiwa chama tawala itawanyamazisha wapinzani wao kwa gharama yeyote. naomba kuwasilisha ba ndugu.
 
Kamwulize mama yako.!? Mtakoma mwaka huu si mlizoea kuchumia tumbo. Mpe salamu na huyo aliyekutuma.
 
Kwani hakukuwa na refresher course wakati wanaandaliwa kuvamia jf ?
 
Muulize Chilligati,akishindwa mrudishie aliyekutuma....
 
Back
Top Bottom