Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fri Oct 28, 2011 10:17am GMT * No commercial oil yet found off east Africa * Inland Uganda may have 6 billion barrels * Rewards could be huge in region but risks high By Ed Stoddard...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana jf,sina lengo la kuisema vibaya nch yangu ila hata nsposema nch yenyewe inajsema.,hv jaman hatuoni jinsi shiling ye2 inavoporomoka?yan 1dol inacheza 1700 na zaid! Tatizo hivi ltakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali za Mh. Sitta juu ya hali ya sasa ya mkataba wa DWNS na numegundua kuwa huyu mheshimiwa anaona kuwa kuvunjwa kwa mkataba huu na bunge alilokuwa analisimamia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimefatilia matukio mengi kuhusu sakata la DOWANS NA RICHMOND, nimegundua kila linapotaka kushika kasi mambo mengi huibuka kunyamazisha kama vile wakati, wa KIKOMBE CHA BABU, tuliweka pembeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wa Nigeria noma juzi nimeona makala ya BBC kutokana na kuongezeka kwa ujenzi kwenye jiji la Lagos mchanga umegeuka lulu ni bidhaa adimu ambapo kutokana na kasi ya ujenzi haupatikani kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetembelea mabanda mbali mbali tangu Wizara na mashirika mbali mbali wameanza kuonyesha tulikofikia miaka 50 ya Uhuru TANZANIA BARA. Nimeongea na watu mbali mbali, waonyeshaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MZEE ALIHESHIMIKA HATA WAMAREKANI WALIMPA HESHIMA KIASI HIKI!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kumpa pole MPIGANAJI MACHACHARI WA MASLAHI YA TAIFA HILI....Mh. ZITTO, POLE SANA! Pamoja na hayo,uchunguzi wa kitabibu umeonyesha anasumbuliwa na malaria (vidudu 120)! Ni mara...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
It is estimated that, more than a half of the total population in this country are gainfully occupied. But let us ask ourself how many of these are Actual Producers in agriculture, mining...
0 Reactions
6 Replies
906 Views
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwenye tovuti ya freemedia.co.tz inaonekana gazeti la tanzania daima linauzwa kwa shilingi 400/=, lakini mtaani linauzwa shilingi 500/=. tunaibiwa au ndo usanii?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mwenye busara na hekima...hana haja ya kufanya uchunguzi KULIONA HILI. Nchi yetu Tanzania imeuzwa sasa ni HAKIKA. Yanayotokea sasa ni kumalizia walioiuza nchi. Hivi kweli na matatizo haya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Gari la mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe likipita daraja la Ulayasi (Mlangali) barabara kuu iendayo Ludewa toka Njombe Historia inaonesha tatizo kubwa la wananchi wa Ludewa ni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Inaonekana imefika wakati viongozi wote wa TZ wawe wanatembea na ambulance kila wanapoenda,maana afya zao si nzuri. Warudishe mashangingi na wapewe ambulance Kwa hivyo wataweza kusaidia jamii pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuanzia juzi maeneo ya sinza,na maeneo mengine jijini umeme unakatika mara kwa mara bla mpangilio kwa maoni yangu nahisi huu ni mgao kama kawaida kimya kimya.serikali iko likizo kwani hamna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali zenu wana JF. Jamani ewura kazi yenu inawahusu wafanya biashara tuu au pamoja na abiri? Leo kutoka mwenge kwenda tegeta, kunduchi, africana ni Tsh 1000 cash. Sasa mbona serikali haineni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nipo kwenye basi from arusha to dar, barabara hii ni muhimu kwa taifa, ila hali yake hasa kutoka mombo ina mashimo sana
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu katika kipindi hiki kibovu kiuchumi, kisiasa na kiutawala katika taifa letu napenda tena kumshukuru Mh. Edward Lowassa kwa kurudia ile kauli ya "hatukukutana barabarani" ambayo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…