Da, kweli Tanzania kiboko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Da, kweli Tanzania kiboko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMEKIMBIA CCM, Oct 29, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf,sina lengo la kuisema vibaya nch yangu ila hata nsposema nch yenyewe inajsema.,hv jaman hatuoni jinsi shiling ye2 inavoporomoka?yan 1dol inacheza 1700 na zaid!

  Tatizo hivi ltakuwa wap? Je n viongoz? Au n cc wenyewe raia,. Mimi binafsi naona ni viongoz ambao wanatumia vibaya madaraka kuimport vitu hovyo. Jamani hadi ferniture wanaagza nje? (tena nahc vnapata msamaha wa kodi) kwel jamani hi Tanzania ni mkosi mtupu, na viongoz wakubwa wanaangalia 2 na kupuuza hasa mkuu wa kaya hv haon haya?

  NA CC WANANCH KWANINI TUSHOBOKEE BIDHAA ZA nje wakat tunazo za kwe2 jamani watanzania na viongozi mi nafikiri suala la uchumi lmewashinda kilchobak sisi wenyewe tuwe wazalendo kununua mali za humu nchn.

  ILA KINACHONCHANGAZA UPANDE WA MADINI, WANYAMA, aah hapo wanajitahd kuexport ingawa ha2onfaida yake,,, je ili kukuza uchumi wewe mwana great thinker unasemaje?


  KARIBUNI KWA MICHANGO na MUNGU AWABARIKI
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,125
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa Jk nchi imemshinda, mfumuko wa bei kila kona, ufisadi ndo usiseme, ajira hakuna..
   
 3. m

  mtz flani Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kila kosa ni la Rais. Nchi hii imejaa wasomi feki ambao wanajifikiria wao tu na matumbo yao...hv kuna maana gani ya kuwa profesa wa uchumi ktk nchi kama Tanzania?i mean ninashangaa kuwa na wataalam wa uchumi waliobobea na bado uchumi wa nchi hususan TZS inazidi kuporomoka! Ndullu,Lipumba & others where r u guyz? Lipumba, is politics more important to u than ur own country? imefikia hatua kama Watanzania wazalendo tushirikiane kwa dhati kuipigania nchi yetu bila kujali tofauti zetu za kisiasa,kabila,dini etc. Sio muda wa kubaki kuilaumu serikali wakati jahazi linaendelea kuzama....na likizama tunakufa wote sio wao tu. WACHUMI, HATA KAMA KUNA WATU WAKO SEHEMU ZINAZOHUSIKA NA ISSUES ZA KUSIMAMIA UCHUMI SERIKALINI WAMESHINDWA NA BADO HAWAOMBI MSAADA NI MUDA SASA UMEFIKA MJIPELEKE NA MUWALAZIMISHE WAWASHIRIKISHE ILI KUIOKOA NCHI MLIYOZALIWA,MNAIPENDA NA AMBAYO MKO TAYARI KUIFIA.....
   
 4. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtz flani kweli umekomaa kiakili na kimawazo(take fv,)nmeupenda sana mchango wako,big up mkuu
   
 5. l

  lupaso Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  du namkumbuka mareheme jinias balali ni genge la akina kikwete na mapacha watatu ndio walimwingiza mkenge sasa yamewashinda wamebaki kimyaaprof beno masabuli hajui eti kwa nini shilingi inashuka aibu
   
Loading...