Nataka nigombee uraisi jamani

Mmasi

Senior Member
Oct 26, 2011
164
15
Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA >nimewahi kuwa mkutubi wa shule,Nimewahi kuwa kiongozi wa fema,kwasasa ni Waziri mkuu wa familia na ni mshauri wa watoto ktk mambo ya uchumi.jamani Jf naomba unapo changia niambie chama kinacho nifaa,naushauri mwingine.
 
Unavitumikiaje vyama viwili kwa mpigo?mpaka hapo umeoneka hufai kwa sababu wewe ni kama shemale.
 
Unavitumikiaje vyama viwili kwa mpigo?mpaka hapo umeoneka hufai kwa sababu wewe ni kama shemale.

nikatika harakati za kujiandaa tu kwani mama mwenye mapacha anahusikaje kwa watoto wake?
 
Jf members naomba nitumie fursa hii kuwaomba aidia zenu kuhusu uwamuzi wangu wa kutaka kugombea uraisi wa tanzania.>ndugu zangu uwezo ninao.>nimwachama wa CCM na pia ni mwachama wa CHADEMA >nimewahi kuwa mkutubi wa shule,Nimewahi kuwa kiongozi wa fema,kwasasa ni Waziri mkuu wa familia na ni mshauri wa watoto ktk mambo ya uchumi.jamani Jf naomba unapo changia niambie chama kinacho nifaa,naushauri mwingine.

Kwanza inabidi upelekwe Milembe maana inaonyesha akili yako haiko sawa. Waziri mkuu wa familia ......, mshauri wa watoto mambo ya uchumi.....? Tueleze kwanza rais ni nani maana inaonyesha hata hujui unachotaka kukifanya.
 
Mkuu naomba nikupe ushauri wa bure. Kwa kuwa sasa wewe ni waziri mkuu wa familia, piga kampeni kwenye hiyo familia ukianisha mafanikio yako uliyopata katika wadhifa wako wa uwaziri mkuu wa familia. Wakiridhika, watakupa Urais wa familia, na hapo utakuwa umetimiza ndoto yako ya kuwa rais.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom