Pole sana Mh.ZITTO kumbe na wewe hutumii chandarau!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Nachukua nafasi hii kumpa pole MPIGANAJI MACHACHARI WA MASLAHI YA TAIFA HILI....Mh. ZITTO, POLE SANA! Pamoja na hayo,uchunguzi wa kitabibu umeonyesha anasumbuliwa na malaria (vidudu 120)! Ni mara nyingi viongozi wetu wamekuwa wakisisitiza suala la utumiaji wa vyandarua tena vyenye dawa na kwa nia thabiti ya kukomesha malaria nchini,mkuu wa nchi aliwahi kupokea TAKRIMA ya vyandarua alipotembelewa na swahiba wake, George BUSH! Hoja yangu, watu wengi wanasumbuliwa na malaria hadi sasa japo vyandarua vimejaa kila kona na kuna uhamasishaji wa kutosha,tuamini havina uwezo wa kutukinga na malaria au watu tumepuuza kuvitumia!!!?
 
unaweza kuumwa na mbu mahali na wakati wowote. Chandarua kinawekwa kitandani tu. vyandarua kwa hiyo vinapunguza uwezekano wa kupata mbu si kwamba vinaondoa
 
Chandarau ni nini au una wenge la ucngizi. Kwa taarifa yako unaweza ukawa unatumia net kila cku na ukawa na malari kwani wakati wa ucku ukiwa mezani unakula au unafanya shughuli nyingine yoyote ukang'atwa na mbu na ukapata malaria. Usikurupuke kuandika kitu bila kufikiria.
 
Pole sana mheshimiwa. Upone haraka.
hizo chandarua pamoja na matumizi ya kuweka kitandani, zinatumika pia kukinga vifaranga visiliwe na mwewe, mchicha usiliwe na kuku au ndege, n.k
 
Acha kukurupukia hoja kwa kuandika vitu usivyovijua wala kuwa na ushahidi navyo.Basi hao wataalamu kama wangekuwa wanajua hilo wasingekuwa wanatoa ushauri wa kutumia net kama kinga madhubuti dhidi ya malaria.Wamefanya utafiti ndio wakaja na hiyo suluhu.
Kwenye hiyo statement yako leta chanzo cha hiyo tafiti yako.Wewe kwa kuwa ni mshabiki wa Zitto unachangia hoja kishabikikwani
Chandarau ni nini au una wenge la ucngizi. Kwa taarifa yako unaweza ukawa unatumia net kila cku na ukawa na malari wakati wa ucku ukiwa mezani unakula au unafanya shughuli nyingine yoyote ukang'atwa na mbu na ukapata malaria. Usikurupuke kuandika kitu bila kufikiria.
 
hapa kuna watu wamewajaza wa tz ujinga na ni lazima tuuondoe kichwani mwao.Hivi mbu anayeambukiza malaria ni yule wa chumba cha kulala?. maana naona kama watu wachache smart wanapiga hela kwa kuuza vyandarua na wasomi wote ktk secta ya malaria wameshindwa kufikiri nje ya box.

Vita dhidi ya malaria ilipiganwa hata na wanaotupa fedha za chandarua(USA) lakini hawakuishinda kwa chandarua.

hebu wadau nipeni case study ya nchi iliyoshinda vita ya malaria kwa chandarua?
 
Chandarau ni nini au una wenge la ucngizi. Kwa taarifa yako unaweza ukawa unatumia net kila cku na ukawa na malari kwani wakati wa ucku ukiwa mezani unakula au unafanya shughuli nyingine yoyote ukang'atwa na mbu na ukapata malaria. Usikurupuke kuandika kitu bila kufikiria.

Sipendi utani kwenye afya ya mtu(Mpignanji wetu) najua jeijei anaweza kuwa na hoja kwa kuhoji ufumbuzi tuliopewa na wamarekani na JK kujikinga malaria lakini tusikejeli ugonjwa wa Zitto- Get well soon taifa linakuhitaji
 
Wakuu tuache kuwa na primitive thinking, kuumwa ni jambo la kawaida na linaloweza kumkuta mtu yeyote. Malaria bongo ni kila mahali hata ikulu. Not a big deal let's send our warm wishes ndugu yetu atibiwe na kupona aeendelee kutuwakilisha.
 
Chandarau ni nini au una wenge la ucngizi. Kwa taarifa yako unaweza ukawa unatumia net kila cku na ukawa na malari kwani wakati wa ucku ukiwa mezani unakula au unafanya shughuli nyingine yoyote ukang'atwa na mbu na ukapata malaria. Usikurupuke kuandika kitu bila kufikiria.

mkuu,nadhani hujafuatilia maelezo ya kitaalamu kuhusu malaria inavyo ambukizwa; tunaambiwa mbu aambukizaye malaria anaogopa mwanga hivyo ukiwa mezani au sebuleni unaangalia AlJAZERA au unafanya ibada na watoto,hapo hakuna malaria kwani kuna taa hivyo hao mbu waenezao malaria hawasogei! Wao hupatikana zaidi kukiwa na giza tena usiku wa manane! Ndio maana tunasisitizwa tutumie net usiku kwa kinga madhubuti dhidi ya malaria! Au chenga tu, tuamini ni biashara au!
 
Acha kukurupukia hoja kwa kuandika vitu usivyovijua wala kuwa na ushahidi navyo.Basi hao wataalamu kama wangekuwa wanajua hilo wasingekuwa wanatoa ushauri wa kutumia net kama kinga madhubuti dhidi ya malaria.Wamefanya utafiti ndio wakaja na hiyo suluhu.
Kwenye hiyo statement yako leta chanzo cha hiyo tafiti yako.Wewe kwa kuwa ni mshabiki wa Zitto unachangia hoja kishabikikwani
Nahisi wewe ndo hasa unaumwa malaria kwa kwn hata ulichoandika hujui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom