Jaman tanesco huu ni mgao tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman tanesco huu ni mgao tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SUYA, Oct 28, 2011.

 1. S

  SUYA Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuanzia juzi maeneo ya sinza,na maeneo mengine jijini umeme
  unakatika mara kwa mara bla mpangilio kwa maoni yangu nahisi huu ni mgao kama kawaida kimya kimya.serikali iko likizo kwani hamna ulazima kuwapa taarifa wadanganyika watapiga makelele.
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  wenzio tumesha zoea
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Huku kwa bi. Mkubwa naona wameshamuunguzia karedio na katv kake..hawa masharobaro 2 hii wizara imewashinda kabisa na kukosoa dhana kwamba ukiwapa vyeo vijana ndio mambo yataenda sawa kumbe ushuzi mtupu.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Ningependa kuona wanataaluma wakiquantify athari za ukosefu wa umeme wa uhakika kwa uchumi wa Tz, ili sisi users tu i-sue serikali hii ambayo ipo out of touch. Hatuezi kwenda kwa mwendo huu wa kikondoo huku tukiumia.
   
Loading...