Hii ya Mwakyembe vipi?

Status
Not open for further replies.

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,275
391
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta kitu kama hicho, nikajua haikuwa sahihi, kwani JF hutoa taarifa ndani ya Dakika moja jambo linapotokea!
Wakuu kwani kuna nini?
 
Imeandikwa"usiogope auae mwili bali yule mwenye uwezo wa kuua mwili na roho"........anyway_Mwakyembe is alive mkuu
 
Inachekesha, taarifa nazo zinakuja kama abiria....zifikie airport au bandarini halafu ndio zije uraiani...hahaaa!!! RIP
 
wewe huyo aliekupa hizo taarifa ndio ungemwambia akuthibitishie , badala ya kukimbilia JF, KWANI unadhani JF habari zinajiupdate zenyewe ? wewe nawe vipi ?!
 
Airport nani anakupasha habari ? Ndege za kutoka India ?? au Wabeba mizigo ??
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta kitu kama hicho, nikajua haikuwa sahihi, kwani JF hutoa taarifa ndani ya Dakika moja jambo linapotokea!
Wakuu kwani kuna nini?
 
umepishana na zitto hapo mlangoni anapelekwa india ......nadhani ni minong'ono ya hapa na pale maana imetanda kweli kila kona
 
wala hampaswi kumshambulia wakuu anataka kujua na kwa anaiamini jf akaamua kuzama mara moja...mkuu ni maneno tu ya watu jamaa bado hajafa bado yuko huko apolo
 
Habari nilizosikia mimi ni kuwa India wamechemsha na kwa hivi sasa kapelekwa Italy. Sina uhakika ni vyanzo vya mitaani.
 
wewe huyo aliekupa hizo taarifa ndio ungemwambia akuthibitishie , badala ya kukimbilia JF, KWANI unadhani JF habari zinajiupdate zenyewe ? wewe nawe vipi ?!

Kapata uvumi sio taarifa. uvumi huo ulisambaa sana jana ukimhusisha yeye na Mh Zitto. Lakini washindwe kwa jina la alie juu. Kwa taarifa za ki-"intelijensia" Dr Mwaky anaendelea vizuri tu.
 
wala hampaswi kumshambulia wakuu anataka kujua na kwa anaiamini jf akaamua kuzama mara moja...mkuu ni maneno tu ya watu jamaa bado hajafa bado yuko huko apolo

Asante Mkuu kwa kunielewa, na kutotaka kunielewa zaidi nilivyotaka kueleweka. Big thanks
 
Tunamuombea Mwakyembe kila la kheri na asalimike na maradhi na magonjwa yote yanayomsumbuwa iwe ya kupewa na mtu au kwa shani yake Mwenyeezi Mungu, Waislaam tunaamini hakuna kinachoweza kukusibu ila kwa amri ya Mungu.

Pole Mwakyembe na kwa uwezo wa Mwenyeezi mungu urudi ukiwa mwenye afya njema na uweze kuendelea na majukumu yako ya kila siku.
 
Kapata uvumi sio taarifa. uvumi huo ulisambaa sana jana ukimhusisha yeye na Mh Zitto. Lakini washindwe kwa jina la alie juu. Kwa taarifa za ki-"intelijensia" Dr Mwaky anaendelea vizuri tu.
hahaaah Huyo jamaaa anatafuta uvumi kupitia JF, na kwakua kakuta hakuna uvumi mpya kaamua kuuzusha yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom