Wazo la kizushi

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Inaonekana imefika wakati viongozi wote wa TZ wawe wanatembea na ambulance kila wanapoenda,maana afya zao si nzuri.
Warudishe mashangingi na wapewe ambulance Kwa hivyo wataweza kusaidia jamii pia.
Mfano tumesha uona ambulance inamfuata kila kona.
 
Ina maana huwatunapigia kura wagonjwa????

Leo anaanguka Jukwaani pale Jangwani,
Kesho unamipigia Kura kua kiongozi wako,
Huu ni uwehu huu hakika!!!
Yaani mipiga kura mingine basi tu inaishi kwa kua kuiua hairuhusiwi duniani mpaka mbinguni!!!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Sio la kizushi, ndio ukweli huo.
Tuwajengee ofisi karibu na apolo hospital india. Wafanye kazi zao huko huko
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Ina maana huwatunapigia kura wagonjwa????

Ukweli ni kwamba viongozi karibuni wengi wa serikali ya tanzania ni wagonjwa na ndio maana kwamfano wabunge wana fungu lao la kwenda kutibiwa nje ya nchi ambalo wanalifanya kuwa siri kubwa ili wananchi wasijue; hakuna hata siku moja watalizungumzia hilo bungeni kwani siri zao zitafichuka. Ingekuwa jambo la busara kama katika katiba yetu mpya kuwe na kipengele kitakacholazimisha wale wote watakaotaka uongozi hasa hasa Ras na wabunge wote lazima wapimwe afya zao na jopo la madaktari bingwa pale wanapoteuliwa kugombea nafasi hizo na mara ikidhihilika wana maradhi yasiyotibika wasiruhusiwe kugombea; hiyo itasaidi nchi kupata viongozi wenye afya hivyo kuongeza tija katika utendaji wao pia kuchochea maendeleo ya nchi.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Inaonekana imefika wakati viongozi wote wa TZ wawe wanatembea na ambulance kila wanapoenda,maana afya zao si nzuri.
Warudishe mashangingi na wapewe ambulance Kwa hivyo wataweza kusaidia jamii pia.
Mfano tumesha uona ambulance inamfuata kila kona.
Mkuu nadhani unapendekeza hali iwe kama hivi:
 
Attachments

  • Tunazikumbuka.jpg
    Tunazikumbuka.jpg
    78.7 KB · Views: 29
Ukweli ni kwamba viongozi karibuni wengi wa serikali ya tanzania ni wagonjwa na ndio maana kwamfano wabunge wana fungu lao la kwenda kutibiwa nje ya nchi ambalo wanalifanya kuwa siri kubwa ili wananchi wasijue; hakuna hata siku moja watalizungumzia hilo bungeni kwani siri zao zitafichuka. Ingekuwa jambo la busara kama katika katiba yetu mpya kuwe na kipengele kitakacholazimisha wale wote watakaotaka uongozi hasa hasa Ras na wabunge wote lazima wapimwe afya zao na jopo la madaktari bingwa pale wanapoteuliwa kugombea nafasi hizo na mara ikidhihilika wana maradhi yasiyotibika wasiruhusiwe kugombea; hiyo itasaidi nchi kupata viongozi wenye afya hivyo kuongeza tija katika utendaji wao pia kuchochea maendeleo ya nchi.
Nakubaliana na wewe
 
Sio la kizushi, ndio ukweli huo.
Tuwajengee ofisi karibu na apolo hospital india. Wafanye kazi zao huko huko
Kwenda India inatuletea umasikini,labda tuwajengee nyumba Muhimbili ili wawe jirani.
 
Back
Top Bottom