Mh. SITTA, watanzania wanasamehe, omba msamaha utasamehewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. SITTA, watanzania wanasamehe, omba msamaha utasamehewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Oct 29, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali za Mh. Sitta juu ya hali ya sasa ya mkataba wa DWNS na numegundua kuwa huyu mheshimiwa anaona kuwa kuvunjwa kwa mkataba huu na bunge alilokuwa analisimamia yeye na mkataba huu kuwa na madhara ya kifedha kwa upande wa Tanesco/serikali ni fedheha kwake. Hata hivyo; kwa kuwa yeye ni militant ameamua kuomba huruma ya wananchi ili kuficha aibu yake.


  Kwanini anaona aibu: yeye ni mwanasheria mkongwe, yeye alikuwa kiongozi mkuu wa bunge, yeye amewahi kusimamia TIC: kwa kuwa ktk ngazi hizi alipashwa kuwa na uelewa wa juu kabisa juu ya manufaa ama madhara yatakayotokana na kuvunjika kwa mkataba, au la , kwa maslahi ya taifa angepaswa kuwa na mapendekezo ya kuondoa kadhia hii ya deni la dowans linalozidi kukua. Kwa kuwa hili halijawezekana- ni muda muafaka sasa kwa yeye kuwaomba radhi watanzania kuwa alishindwa kutumua mamlaka yake vizuri hata kuingiza serikali katika deni hili. Nawasilisha.
   
 2. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na akishaomba radhi mkondo wa sheria ufuate kwake na kwa wale wote waliotufikisha hapa tulipofikishwa
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Ndo maana yake na ikiwezekana alipe gharama.
   
Loading...