90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Oct 28, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
  Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
  1.ukimwi
  2.kisukali
  3.pressure
  4.
  5.
  Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

  pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
  Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

  Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
  Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

  Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
  Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.


  Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
  Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.


  Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

  Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.


  Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi


  ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

  Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

  Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

  Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

  Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????
   

  Attached Files:

 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Viongozi waache kukimbilia kwa waganga wa kienyeji bagamoyo bali wamutafute mungu.

  Kitendo cha kukimbilia kwa waganga wa kienyeji kinasamababisha ongezeko la mauaji ya albino
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh Una maana babu aligeuka laboratory Technician? Kama kikombe cha babu kilikuwa sumu basi very soon tutegemee maafa ya karne.''watu wangu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mi hadi najiuliza kuwa labda ni UMRI!...Kuwa mtu akishafikia 50yrs basi hugeuka kuwa shamba la magonjwa!...Maana list yote ya uongozi wa sirikali hawapitishi muda wanakwenda India!...Kuna siku niliuliza je huko INDIA wanatibiwa bure, au kuna mtu anakula kamisheni?...Au bima ya Afya ya serikali imeichagua Hospitali hiyo ya India kama hospitali ya rufaa kwa VIGOGO Watanzania wanaoelekezwa kutibiwa nje ya nchi?
   
 5. A

  Ame JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Wakati wa hicho kikombe nilijitahidi sana kuwaeleza watu pamoja na Dada yetu Judith tukaandika pages and pages za kuwasihii sana watu kuwa hiyo si njia ya uzima bali ni ile iendayo kuzimu inaelekea sauti zetu zilikuwa ndogo mno kwani cloud yote ilikuwa inaitikia mwangwi wa kikombe cha babu. Haya basi ndugu na rafiki zangu sasa kwakuwa muda umeonyesha ukweli uko wapi basi nawaalika kwenye hiyo kweli ambapo mtapata pumziko katika yote yanyowasumbua.

  Hayo magonjwa ni rahisi sana mbele ya neno la uzima kutoeka kwani kama lilivyo giza ukiwasha taa tu lote linakimbia ndivyo ilivyo kwa hayo. Biblia inatuambia neno hilo haliko mbali sana li katika vinywa vyetu na linauwezo wakugawanya nafsi na roho hata kujua yale ya ujazao moyo. Nami mhubiri wenu na nabii nawalikeni sasa mje katika mwanga huu ambao ulinitoa mimi gizani. Shuhuda zangu nyingi nimezi document kipindi kile cha topic ya kikombe cha babu; wengi hawakuamini lakini Babu amefanyika uwongo ili ninyi muamini niliyowaambieni juu ya yale niliyoyapitia.

  Mwenye shida anawezakukutana na Yesu humu humu kupitia mimi. Kwakua mi si mzuri wa kuanzisha topic zenye mvuto basi mwenye shida katika hayo yaliyoshindikana abandike in a way itakayovutia then mimi ninajitolea kuwahudumia wote privately bila huyo kunijua ama mimi kumjua yeye. Sifa na utukufu zote zitarudi kwa Mungu kwani hii anonymous yetu itafanya Mungu pekee jina lake litukuzwe.

  Karibuni!
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mfano mzuri ni bunge kushinikiza na kuvunja mkataba wa dowans.
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wabunge na mawazili wakubali kuacha zinaa
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  WEEE!!!!!!!!! MAMA TERY ALIWAPA UKWELI KUHUSU WAO KUJIRUSHA NA VYANGUDOA WAKAMFANYIA MIZENGWE
  YA KUTOSHA.AF NA WENGINE WANAWAAMBUKIZA WATOTO ZA WATU BILA HURUMA.manake watoto wengine wanaamini mtumnene au tajiri hawez kuwa na ngoma,
   
Loading...