Ewura mnafanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura mnafanya nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ima R., Oct 28, 2011.

 1. I

  Ima R. Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali zenu wana JF. Jamani ewura kazi yenu inawahusu wafanya biashara tuu au pamoja na abiri? Leo kutoka mwenge kwenda tegeta, kunduchi, africana ni Tsh 1000 cash. Sasa mbona serikali haineni?
  Nawasilisha.
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  inawezekana mkuu hela yenu yenyewe imeshakuwa ya madafu
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Wako busy wanasherehekea miaka 50 ya uhuru. January wataanza kuhudumia wananchi,vuta subra ndugu
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hiyo ni kazi ya sumatra mkuu,sio ewura!wale wako bussy na megawatt
   
Loading...