Lagos huchimba mchanga wa kujengea nyumba baharini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lagos huchimba mchanga wa kujengea nyumba baharini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfianchi, Oct 28, 2011.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Jamani wa Nigeria noma juzi nimeona makala ya BBC kutokana na kuongezeka kwa ujenzi kwenye jiji la Lagos mchanga umegeuka lulu ni bidhaa adimu ambapo kutokana na kasi ya ujenzi haupatikani kwenye nchi kavu na ukiupata una gharama kubwa,sasa kuna mjasiriamali mmoja ana mitumbwi yake na wafanyakazi wake ambao hukusanya mchanga baharini (sehemu za baharini ambazo mchango umetwama) huko vibarua hutumia ndoo hizi za kawaida kuzamia na kuibuka na mchanga ambao humwaga kwenye mitumbwi kibao,baada ya kujaa hiyo mitumbwi huleta mchango pwani ambako hupakuliwa.Huo mchango unasifiwa sana kwa ujenzi hasa wa majengo makubwa na marefu wao wanasema ni grade 1,sijui Bongo hiyo shuruba kama ingewezekana.
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  itawezekana tu we subiri....
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  labda mwaka 2099
   
 4. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hiyo title ni tata mno kiasi ambacho ilinibidi nisome habar ili nielewe
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Tungo yako tata mwana. Nimekurupuka kusoma zaidi nikidhan wao wanajenga nyumba zao baharini kumbe ni mchanga toka baharin khaaaa.. Cha ajabu nn hapa ? Ati..
   
 6. r

  rweiki Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na hiyo chumvi wanaitreat vipi!au hawatumii cement.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nilionaga hii kwene series za documentaries za Makoko, maisha passport size ya huku kwetu cha mdoli. Haya ndio matatizo ya kuzaliana kama kuku bila kuzingatia upatikanaji wa resources kumtosheleza kila raia. On top of it, unakuta kuna madikteta kama Abacha ambao walijikusanyia utajiri wa kutisha enough to feed millions of Nigerians. Nasisi tusipoangalia tupo njia moja kuelekea hukuhuku.
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  Siyo Lagos tu, hata Kisumu mbinu kama hiyo inatumika kuchimba mchanga lake victoria. Mchanga huu quality nzuri na bei yake kubwa zaidi.
   
 9. m

  mhondo JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  kwa kuwa bandari ya Dar wanataka kuongeza kina ili meli kubwa ziweze kutia nanga ni vizuri watu wa namna hiyo wangetafutwa ili mchanga uondolewe bure kupunguza gharama za kuongeza kina.
   
Loading...