Naomba kama mtu anajua namna ya kuunganisha IDs hapa Jamvini. Ninazo kama tatu hivi sasa nimechoka kuingia na kutoka na kutumia nguvu zangu kujifanya sio mtu huyo huyo mmoja. Ila nataka michango...
Ni kwa muda mrefu sasa sijakisikia hiki cheo, wala sijamsikia mheshimiwa Tambwe Hizza aliekuwa na hiki cheo cha mkurugenzi wa PROPAGANDA wa chama cha mapinduzi.
Je CCM mmejishtukia na kikifuta...
Walimu 300 wasotea mishahara ya Nov
Send to a friend
Daniel Mjema,Moshi
ZAIDI ya walimu 300 katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hawajalipwa mishahara yao ya mwezi...
Hawa viongozi wa TANESCO hawana mipango yenye tija,wala hawana uwezo wa kulisaidia shirika kupata mapato zaidi,NAWASHAURI WATAFUTE NJIA YA KUZALISHA UMEME KWA WINGI ILI KUPUNGUZA UKOSEFU UMEME...
Ninaomba viongozi wa ccm taifa mjibu hili swali. wakati wananchi walipolalamikia kupanda kwa bei ya mafuta ya taa ilifika point nanyi kupitia vikao vyenu mkaonyesha kusikitishwa na hili jambo...
IMEBAINIKA KWAMBA ASKOFU THOMAS LAIZER AMEMTAKA MCH AMBILIKILE MWASAPILE ATOE HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI ILI WAWEZE KUJUA NI KIASI GANI KIMEPATIKANA BAADA YA KUBAINIKA KUWA ZAIDI YA WATU...
Toka jana kumekuwa na hali ya sintofahamu katika kipindi mahiri cha morning magic kinachoendeshwa na galacha watatu; orest kawau, meshack nzowa na mary edward. Jana kipindi kilichelewa sana...
Jaman nipo mjini Moshi, imefunguliwa Nakumatt Supermarket, nimeingia humo ndani, wahudumu almost all ni Kenyans. Kwa nini? Nilitegemea wawekezaje wanapokuja moja ya masharti iwe ni ajira kwa...
UBUNGO MATAA KUMEKUWA PANGO LA WANYANGANYI Tarehe 12 Desemba 2011 nilichelewa kutoka katika mihangaiko ya maisha yangu mpaka kwenye saa mbili usiku. Kwakuwa mimi ni mwenyeji wa Kibaha na kesho...
Hili la utata wa sakata la posho za wabunge napata wasiwasi kuwa ni njama ya kutufumba akili zetu na kutupoteza maboya watanzania ili tusahau suala nyeti la mchakato wa kutungwa kwa katiba mpya...
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba
MDAU AADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA KWA KUUZA BIDHAA ZA KITANZANIA KWENYE MAGULIO YA ULAYA
Wengine wakiwa wanaadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania kwa sherehe, siasa nyingi...
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Nimesikia kisa kimoja huko Arusha cha ajabu sana ambapo mtoto wa miaka 14 (form 2) kapewa mimba na mzungu mwenye miaka 48. Huyu binti alikuwa hajui...
Wana jf mnao ishi sinza au pita sinza njia ya sinza makaburini ambayo inakatisha na kwenda kutokea njia iendayo ubungo. Kuna kibaka mmoja anawaliza sana mchana kweupe na siyo siri anameki sana...
Baada ya bus Allys kuharibika na abiria kutelekezwa. OCD aliingilia kati kuwatafuta wahusika waliotokomea na kuacha abiria solemba, na kuamuru kampuni hiyo itoe bus jingine na kuendelea na safari...
habari waungwana?
kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili wakuu, em naombeni kujuzwa tafadhali, hivi mwanamke yu aweza kuwa kwenye bahati ya kubeba ujauzito baada ya siku ngapi kupita tokea...
Watanzania tunakuwa wakali sana tuna maindi vitu vikubwa je vidogo?Mh si tumemchagua wenyewe au inakuwaje vyama vyote tunamtambua kuwa ndiye mkuu wa kaya!hv hm baba akikosea huwa mtoto...
Hii nimeiona Facebook Wall ya Mzee John Kitime na nikaona si vibaya kuileta hapa tuijadili maana ina ukweli mkubwa sana ndani na mafundisho kwa jamii yetu.
John Kitime
Dah hii kali, jamaa...