Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wiki iliyopita Mafundi wa Tanesco walianza kufanyia utafiti nguzo namba 19 na Namba 20 kubaini ni kwa nini Umeme haupiti Maeneo hayo.Hata hivya gari ya Winchi imeharibika mda mfupi baada ya...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Car maker Saab ran out of room for maneuver Monday when its Dutch owner filed for bankruptcy, calling time on a nine-month battle to rescue the struggling Swedish marque. Saab's cash problems...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Hapana jamani tufike wakati tuseme tumechoka hivi nini nyuma ya pazia kwa nin i tpdc isiwezeshwe jamani kuagiza mafuta raisi kikwete kuna nini na wewe unahusika humo embu tusaidie ??
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa aliyeona wakorea ya kaskazini walivyokuwa wakilazimisha kumwaga chozi kumlilia mtesi wao, ataamini ukweli kuwa madikteta ni wendawazimu. Tunaambiwa ni kiongozi mpendwa kama Muammar Gaddafi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
N.B: Nimeiweka hapa kwenye siasa, maana Tz kila kitu ni siasa tu! Nimekuwa na rafiki zangu wazalendo kuliko mimi (kama watatu) ambao wamekutana na mama huyu pale Wizara ya Afya na Ustawi wa...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wana JF naomba kwa yeyote anayewajua wajumbe wa Bodi ya PSPF kwa majina anipe orodha hiyo! Thanx in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In this WORLD, many people remain starving Hungrey because of the greed of others. If we knew how to share then the problem should be SOLVED.
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Nimesoma habari kuu ya leo kutoka Tanzania daima nimeona kuna mahala imeandikwa kwamba Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo Ndugu Absalom Kibanda jana alidhaminiwa na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Hoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari ya polisi imetinga katika chuo kikuu cha UDOM-COED majira ya saa 6 mchana na kuwakamata wanafunzi watano lakini bado kisa cha kukamatwa hakijafahamika. Wanafunzi hao ambao wanaingia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni swali ninalojiuliza kila mara,hivi kodi ya mtanzania inakwenda wapi,kwa sababu sioni maendeleo yoyote yaliyopo,mambo yafuatayo yananishangaza,umeme kukatika,maji ya shida,ufisadi ndio huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwakyembe anawashukuru wote mlio muombea. kapata nafuu kubwa na anasema ataendelea na kasi ileile. kwamba matatizo yake yamesababishwa na mafisadi.source itv. Mia
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni Dhahili kuwa Mkataba wa Richmond na Dowons Umehujumu Uchumi wa Nchi na Mpka sasa Hali ni tete na Umezua mpasuko mkubwa Katika Taifa!! Hapo mwanzo ilikuwa siri kubwa sana kuhusu mumiliki wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF nimeshitushwa sana na taarifa zilizopo kwenye website ya Takwimu Tanzania! Mbona ipo kinyume na kauli ya wengi kwamba ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa ndani ya nchi yetu na Africa kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania mlio Dar huu mshindo mkubwa wa mlipuko ni nini kwa mwenye taarifa?naomba kuuliza kwani hofu imetanda Mikocheni
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ile shoo ya vinega mjini Arusha iliyofanyika jana ilikua vp wadau? Anayejua hatusaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
please mwenye kujua hiyo namba anisaidie kuna mto unatokea kwenye nguzo hapa kwetu.naishi sinza lion.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya saa 2.30 usiku wa leo RFA, TBS wanasema kuwa kuanzia Februari 2012 watakuwa wakikagua bidhaa kwenye maeneo zinakotokea ili kuthibiti bidhaa zisizo na ubora. Je, kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzanias President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts. According...
0 Reactions
61 Replies
26K Views
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe, amerejea nchini akitokea Hospitali ya Apollo nchini India alikolazwa kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa ngozi. Dk Mwakymbe...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
hawana wanachofanya
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…