Kuna nini nyuma ya pazia kwa nini TPDC isiwezeshwe kuagiza mafuta? Kikwete unahusika na hili??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Hapana jamani tufike wakati tuseme tumechoka
hivi nini nyuma ya pazia kwa nin i tpdc isiwezeshwe jamani kuagiza mafuta
raisi kikwete kuna nini na wewe unahusika humo embu tusaidie ??
 
Hapana jamani tufike wakati tuseme tumechoka
hivi nini nyuma ya pazia kwa nin i tpdc isiwezeshwe jamani kuagiza mafuta
raisi kikwete kuna nini na wewe unahusika humo embu tusaidie ??

Usitegemee hata siku mmoja kitu kama hicho kitafanyika, na hata kama itatokea kuagiza hayo mafuta tutegemee kukosa vituo vya kuuzia hayo mafuta.

Nachoweza tu kukuambia bw, Pdidy hii biashara ina wenyewe, agizeni mafuta yenu yaje yadode, muingie deni la kuyahifadhi kwani maghala mmeshayauza yote.
 
Maamuzi kuiruhusu kushiriki yalipitishwa lakini nasikia hakuna hata senti moja waliyopewa kufanikisha hilo.
 
Maamuzi kuiruhusu kushiriki yalipitishwa lakini nasikia hakuna hata senti moja waliyopewa kufanikisha hilo.
Tumezidi utani katika mambo yetu mengi ya msingi na hii inatugharimu sana kama nchi, inawezekanaje jambo muhimu kama hili kuamuliwa na bila kuwekewa mikakati ya utekelezaji?
Naamini hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya hapo naamini kila kitu kipo ki mkakati na kuna mkono wenye maslahi hapo.
 
Back
Top Bottom