Mwakyembe anawashukuru nyote

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
mwakyembe anawashukuru wote mlio muombea. kapata nafuu kubwa na anasema ataendelea na kasi ileile. kwamba matatizo yake yamesababishwa na mafisadi.source itv. Mia
 
I expected a more detailed statement than that, and may be press release coz we were shocked and touched by his sickness.
 
Mkuu mbona una haraka, ngoja tusubiri atulie, baada ya wiki utamsikia akilipua bomu litakaloangamiza kabisa ndoto za Lowassa kuwa Rais wa nchi hii come 2015!
 
mwakyembe anawashukuru wote mlio muombea. kapata nafuu kubwa na anasema ataendelea na kasi ileile. kwamba matatizo yake yamesababishwa na mafisadi.source itv. Mia

Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?
 
Yeah,,aliahidi kulipua mabomu akijaaliwa kupona na kurudi TZ lets hpe anafanya hivo siku c nyingi zijazo. Kama ameweza leo kuongea runingani means anaweza pia kulipua hayo
 
Mungu yuko nawe Mh Mwakyembe. Kama ni mkono wa mtu wewe msamehe na muombee kwa Mungu amuongoze.
 
alikuwa na kasi hata kabla ya kuwa waziri. na uwaziri ameupata kutokana na kasi yake. Hata kama kikwete hataona umuhimu wake lakini sisi wananchi ataendelea kuwa moyoni mwetu. Mia
 
Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?

binafsi naona ni bora abadilishe mwelekeo kama kweli ccm ndio walimpa sumu aachane nao kabisa
na kama kweli ana nia nzuri na nchi yetu aingie upinzani ndo tumwamini
 
Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?

Kwani kasi ya kupambana na dhuluma ni lazima uwe ndani ya uwaziri?alichosema ataendelea na kasi ile ile juu ya upambanaji wa dhuluma dhidi ya Watanzania!na alianza kufanya hivyo kabla hajawa waziri
 
Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?
kwani wewe upeo wako wa kuelewa mambo umekuwezesha kuelewa ataendelea na kasi ile ile kwenye angle gani mpaka umuhusishe jk?uwaziri ama ubunge?mi nadhani kasi yake anayoizungumzia ni ile aliyoionyesha kwenye ubunge mpaka mzee mzima akapima na kuona ni busara kwake kuachia ngazi!
 
ndio maana wenzio wanakwambia unakurupuka. Hivi kupigana vita vya ufisadi ni mpk uwe waziri?
 
Nepiiiiiiiiiii!
 
jamani ngoja niwakumbusheni zamani wakati anafundishwa alijitoa kwenye board ya nbc baada ya kuzikataa milioni hamsini ambazo board member wote walipewa ili wapitishe mambo ya makaburu mwenzie wote wasiokuwa wazalendo walizichukua na wakati huu ndio alikuwa akianza msingi wa ghorofa lake mliloliona kwenye tv (itv) ndio ujue watu walivyo wazalendo mtu anashida ya hela ila hawezi uza utu wake huyo ndiyo dr mwakyembe! mwita 25 unamzungumzia uwaziri wa juzi tu hapa!!

na alipokuwa usalama wa taifa wakati mwandishi wa habari kamuulize kwa nini alitoka (mwita research first before you speak)

hilo ndio jembe na limerudi, na tunalitaka chadema kama ccm hamtomchagua kuwa mgombea wenu!!
 
ndio maana wenzio wanakwambia unakurupuka. Hivi kupigana vita vya ufisadi ni mpk uwe waziri?
Hamna kitu hapo; Mwakyembe, Lowassa na Sita ndio waliolea sana ufisadi. Wanatakiwa hata kuchomwa moto. Hawa ndio walioficha ufisadi eti wanakipigania ccm, ujinga gani huu wanawezaje kuwa na uchungu na chama badala ya taifa?
 
Maelezo yako hayajitoshelezi!fafanua
 
mwakyembe anawashukuru wote mlio muombea. kapata nafuu kubwa na anasema ataendelea na kasi ileile. kwamba matatizo yake yamesababishwa na mafisadi.source itv. Mia

Kama Polisi wapo hope ataitwa ajieleze kuhusu hili alafu tujue kinachondelea na tujulishwe. NAdhani hii ni mra ya pili ile ya kwanza nilisoma walitumika waganga wa kienyeji kama sikosei.
 
Tunamwombea uzima tena awe nao tele. Achana na vinyonga akina mwita. "Mtanyweshawa sumu lkn hazitawadhuru" limetimia kwa doctor. Ushukuriwe Mungu uliye juu ya serkali dhalimu ikumbuke Tanzania. "We are fadeup"
 
Back
Top Bottom