Kifo cha Kim Jong Il | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Kim Jong Il

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 20, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa aliyeona wakorea ya kaskazini walivyokuwa wakilazimisha kumwaga chozi kumlilia mtesi wao, ataamini ukweli kuwa madikteta ni wendawazimu. Tunaambiwa ni kiongozi mpendwa kama Muammar Gaddafi ambaye watu wake walimpenda hadi wakamuua kama kibaka au Jakaya Kikwete ambaye wananchi walimpenda hadi wakatupia mawe msafara wake wa magari kule Mbeya.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Napita tu Mkuu. Nitarudi baadae.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unajuaje kua aliwatesa wakorea? we ni mkorea? Usiwe unaamini kila kitu bila kufanya uchunguzi, anti communist propaganda ni nyingi! Hivi unajua watu wa korea wanamaisha mazuri kuliko watanzania (kwa viwango vya UN reports), na hata watu wa Lybia wakati wa Gadafi walikua na maisha mazuri kuliko wantanzania. alafu unasema wale ni dikteta...
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Kwa ambao mmeona news kama CNN,Aljazira,BBC etc,mbona wananchi wa North Korea wanalia sana kwa sauti na kumwaga machozi,wakati tunaambiwa Kim Jong alikuwa dikteta!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,590
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  he may be , he may be not a dictator,

  ila kwa face zozote either awe au asiwe lazima ataliliwa tu na watu fulani


  dictators wana MANIPULATE MIND, WANA INDUCE CULT NA KUDUMAZA UBONGO..........every dictator ana quality hii pia. next ten years watashtuka kuwa waliliwa na maisha hayakuwa yalivyopaswa yawe

  refer Nyerere
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Brainwashing ni mbaya sana.
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  watu wanaoamini kwenye vyombo vya kimagharibi utaumiza kichwa yako tu!
   
 8. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu!
  Mbona hata watu wenye title ndogo tu hapa nchini wanaliliwa wakiwa bado hai!
  Mnakumbuka yale ya Igunga?
   
 9. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Co kila ki2 wanachosema magharibi ni kweli, kila m2 ana ubaya wake na uzur wake. Kwa walioangalia tv utajua ni jins gan walikuwa wanampenda. Hizi western idiology zitatuangamiza. Amin kile unachoamin na sio anachoamin mwenzio.
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Anakuja kim jong-un
   
 11. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  RIP Dear Leader KIM JONG IL!
   
 12. N

  Nyadunga Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 25
  Mkuu wetu naye akifa ghafla RIZ 1 anachukua dola!!!!!!
   
 13. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Avatar yako tu mwali!
   
 14. T

  Tayseer JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mataifa yote makubwa utawala wake ni wa kibabe, bt wanapo kutana na viongozi makini toka nchi ndogo then hupenda kuzusha mambo, wanataka wakisema kueni mashoga mkubali mkigoma mtaambiwa hakuna utawala bora
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dikteta David Cameroon,
  Dikteta Obama
  Dikteta Nic Sarkozy
  How does that sound?
  Jaribu hii
  Dikteta Ahmadinejjad
  Dikteta Mugabe
  Dikteta Col Ghaddafi
  Diktata Kim Jong Il
  Tofauti yake kama ipo inatokana na sisi kusikiliza sana media za ki-west CNN, ABC, BBC, France 24, Al Jazeera(ni wazungu tu).
  Vinginevyo wote sawa tu. Wanaweka maslahi ya nchi zao mbele.
   
 16. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hapo kwenye Bold pamekaa njema! (Do you really mean it?)
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mia kwa mia,
  kama wasemavyo wabunge wa sisiem
   
Loading...