Baada ya Kutuibiwa Kupitia Richmond &Dowons Sasa Wamegeukia Makanisa Kutaka Utawala 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Kutuibiwa Kupitia Richmond &Dowons Sasa Wamegeukia Makanisa Kutaka Utawala 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Dec 20, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni Dhahili kuwa Mkataba wa Richmond na Dowons Umehujumu Uchumi wa Nchi na Mpka sasa Hali ni tete na Umezua mpasuko mkubwa Katika Taifa!!

  Hapo mwanzo ilikuwa siri kubwa sana kuhusu mumiliki wa Richmond na Yule wa Dowons kiasi cha watu wengi kusema ni Edward Lowassa kwa kuwa alijiuzulu kutokana na Kashifa hiyo!!

  Lakini zaidi sana Rais Kikwete aliuambia umma kuwa Hawajui Dowons wala mumiliki wake !!!
  Jambo la Kushangaza Kwenye Kikao Cha NEC DODOMA Edward Lowassa baada ya Kupata Ujasili akasema Richmondi ni ya Kikwete na Kwamba hata Dowons ilitokana na yeye Lowassa kumupendekeza Rostamu Kwa Kikwete!!!

  Sasa hapa naona Lowassa kajivua Gamba na baada ya Hapo amekimbilia Makanisani kuwambia wachnguaji kuwa yeye Lowassa hahusiki na Richmond wala Dowons na katika mkakati huo anachangisha pesa kuimarisha makanisa hayo huku akitoa angalizo la kugombea 2015!!!

  Makanisa mengi sasa yana acha ibada na kupanga miariko mingi ya Lowassa kwa ajiri ya michango , mimi nawataka wanasiasa mwogopeni Mungu kwani hapo munahujumu Makanisa kwani Ibada zina kwama na neno la Mungu linachakachuliwa!!!

  Ni kweli tumeingia hasara kubwa kutokana na Richmond lakini sasa acheni Maknisa yawe Huru musihujumu makanisa
  mini naungana na mwenye Blong Nova Kambota hii hapa chini:

  [h=2][/h]
  Tafakuri Yangu Ya Leo: Ya Kakobe na TANESCO mwogopeni Mungu tujaribu kwa Mafisadi  [​IMG]
  KAMA kuna jambo linalowakera watanzania basi ni hili la Ufisadi miongoni mwa baadhi ya viongozi wetu. Watanzania wanajiuliza, iweje wao waendelee kuwa masikini ilihali wachache wanazidi kuneemeka huku wakikodi ndege kwenda kutumbuliwa vipele huko Berlin Ujerumani? Sasa mimi nina pendekezo binafsi mkiona linafaa tulifanyie kazi wadau.

  Hivi mnakumbuka enzi zile za mgogoro kati ya Askofu Zakaria Kakobe na TANESCO? , Kakobe aliendesha harakati zisizo na umwagaji damu akazipachika jina la “TANESCO Mwogopeni Mungu !!” na fulana za njano alichapa tunazikumbuka, Sasa kwa nini na sisi tusitumie mbinu hii kuwashughulikia Mafisadi?

  Na hii iwe Tafakuri yangu ya leo jamani……

  Nova Kambota Mwanaharakati
  “Kitendawili sio deni ukishindwa nipe mji”
  0717-709618 au 0766-730256
  novakambota@gmail.com
  novadream.blog.com
  10 Machi 2011
  Njombe , Tanzania.
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sijaelewa hata kidogo unachojaribu kusema hapa.
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yote kumi mwache Lowasa pembeni kinachoniu,ma ni huyu Kikwete
   
 4. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hujuma Ya Richmond/Dowons imefanyika wahusika wamekimbilia KANISANI KUJISAFISHA WAKIDAI URAISA 2015!!!
   
Loading...