Dada Dr. Pamela Sawa, tafadhali jirekebishe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada Dr. Pamela Sawa, tafadhali jirekebishe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tutafikatu, Dec 17, 2011.

 1. tutafikatu

  tutafikatu JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,525
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  N.B: Nimeiweka hapa kwenye siasa, maana Tz kila kitu ni siasa tu!

  Nimekuwa na rafiki zangu wazalendo kuliko mimi (kama watatu) ambao wamekutana na mama huyu pale Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

  Kama kawaida ya mama huyu wote walikuwa wakifika ofisini kwake wanaishia kuondoka wamekwazika, bila kujali malengo yao thabiti ya kuanzisha hospitali na vituo vidogo vya afya nchini Tanzania, kwa lengo la kuboresha maisha ya mtanzania. Hawa ni watanzania ambao wametumia mali zao ili kufungua vituo vya afya nchini, biashara ambayo kwa hakika si ya kuaminika kwa nchi yetu ya Tanzania lakini wakiwa wanaongozwa na dhamira njema ya kusaidia wenzetu nyumbani wamethubutu kujaribu (Mmoja Marekani, mwingine Afrika Kusini, na wa mwisho yupo nyumbani Tanzania). (Tunamshukuru Mungu ndugu zangu hawa wote wamepata usajili baada ya kusota kwa miezi kadhaa wakisubiri kupata usajili).

  Naambiwa Dr. Pamella Sawa ni Msajili wa Vituo vya Afya Binafsi na Umma wizara ya Afya. Kitengo ambacho kwa hakika kimekuwa kinazidi kufungia vituo vya watu binafsi kwa maelekezo kwamba havijatimiza vigezo wakati huo huo wakiviacha vituo vya serikali visivyohitajika hata kuwapo kwa jinsi visivyokuwa na sifa za kutoa huduma kwa wananchi.

  Kitengo hiki kimekuwa kikipokea rushwa nyingi wawapo kuchunguza utendaji kazi wa vituo vya afya Tanzania, na mara zote wamekuwa wanatengeneza mazingira ya rushwa hata kama huna kosa.

  Mtanzania msomi, Dr Pamella anasifika sana kwa kuheshimu raia wa kigeni hususani wahindi wenye vituo vyao vya afya nchini kwetu, huku akiwadharau Watanzania vijana kwa wazee ambao wanajitolea kutoa huduma kama hiyo. Ni mara nyingi utaona mhindi anaruhusiwa kuingia ofisini kwake bila kusubiri foleni ya watanzania waliokaa nje ya ofisi yake.

  Ukiingia ofisini kwa Dr. Sawa (Yameshawahi nikuta wakati namsindikiza jamaa yangu kufuatilia usajili wa hospitali yake) utapokelewa kwa moyo mkarimu na wasaidizi wake ambao pia hawaishi kunyanyaswa na dada huyu mrembo lakini ghafla ukashangaa anakutoa kwa ukali kwa kisingizio cha kwamba wana mkutano au subiri mtu mwingine atoke (japo kuna watu zaidi ya watatu wanaotoa huduma katika ofisi yake).

  Dr. Sawa anasifika kwa maneno makali ambayo baadhi ya nyakati huleta aibu kwa watanzania wanaoingia ofisini kwake. Watumishi wengi wizara ya afya ambao wanahitaji huduma katika ofisi yake huenda kuongea naye kwa woga mkumbwa utadhani yeye ni Simba, ingawa ana umbile dogo na lenye mvuto.

  Wengine wanadai kwamba ati Sawa hutumiwa na baadhi ya rafiki zake kutoruhusu kupitisha maombi ya watu wengine wanaonekana ni hatari kwa vituo vingine vya afya kuendelea kupata wateja (sina uhakika maana maombi hupitishwa na board, ingawa yeye huhusika na hatua zote za kupitia maombi na pia ana nguvu sana kikaoni).

  Tunashukuru serikali kutoa fursa sawa kwa wote, maana hata mwanamke msomi kama huyu anaweza kupata nafasi nzuri wizara ya afya makao makuu bila shida yoyote, lakini mambo anayowafanyia watanzania wenye moyo safi wa kutaka kuisaidia jamii yetu yanamfanya aonekane asiyefaa na kwa kweli anatakiwa ajirekebishe haraka.

  Kama ni tabia zake za asili basi ajitahidi kuziweka kando pindi awapo kazini.

  Lakini Tutafika tu!!!
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Imeniuma sana
   
 3. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bolded: double standards, kuna vitu vya afya vya serikali vinatia aibu kwa uchafu. vingine hakuna hata vyoo.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kumbe we ulikuwa hujui kuwa wanawake wengi wakipata madaraka wanakuwa na roho za kinyama. Wapo wengi sana kama huyo.
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Pamela Sawa nimewahi kumuona kwenye TV alipokuwa anafunga Hospital pale Stop Over... hana tofauti na yule Jinga wa NHC Raymond Mndolwa na Puppet wake mkubwa...ambaye juzi juzi alikuwa Mwanza hivi wanawatoa wapi hawa machiziiii...
   
 6. M

  MwekezajiMzawa Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Dr. Pamela hana kitu wala hasiwababaishe. Na sijui huo udaktari kaupatapataje huko Russia maana form 4 hapa Tanzania alipata division zero. Siku nyingine ukienda muulize jina lake la ukweli. Jina lake haswa ni Lulu Sawa; amesomea Muhimbili P/School na alikuwa anakaa Ocean Road, pale Sea View. Baade akaenda either Mzizima Secondary au Shaaban Robert. Yawezekana alichakachukua vyeti vya form 4 na 6.

  Tatizo la Tanzania mtu akishakuja na cheti cha nje wanamshobokea na kumpa cheo kikubwa bila kuangalia background yake ikoje.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lengo la wizara ni zuri ila dada anaatatizo ta tabia since akiwa shule

  hilo la wahindi limenishtua
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna tofauti ya waliosoma na wasiosoma! Rushwa na ubabe ofisini kwa watanzania wasomi ni jadi. Inauma sana, tena sana. Poleni ma Dr.
   
 9. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je na hapo tutamlaumu JK? Maana huyo mwana dada Dr, is an individual ambaye amepewa dhamana na serikali, watanzania inabidi yubadilike kwanza as individual ndiyo tuikosoe serikali, bila hivyo anayepata rungu atapiga kila mahali, na mwingine akipata naye analipiza kisasi.
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuwa daktari wa binadamu ni kitu very sensitive saana lakini TZ na wizara ya afya kila mara unasikia watu hawana uwezo wa kuitwa madaktari ilikuwa Kigoda na sasa huyu kulikoni wizara hiyo ? Hebu wekeni CV yake tuipitie jamani
   
 11. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndiyo matatizo ya watu kuitwa Dr bila kuwa na sifa za kuitwa Dr mara Dr. Kikwete yale yale!
   
 12. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo la nchi yetu ni kwamba tumefanywa tuamini kwamba ofisi za serikali hazipo kwa ajili ya kutuhudumia sisi, bali zipo kwa ajili ya ku-exercise authority juu yetu.
  Ni lazima tubadili huu mfumo ili hao wanaokalia viti kwenye ofisi za serikali wajue kwamba wapo pale kwa ajili ya kutuhudumia sisi na si vinginevyo.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  directly hapana, indirectly yes kwani yeye huteua wasiamizi wa watu kama dr sawa
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red kama unakosea vile aisee

  Pamela ni daktari alisoma urusi/nchi za huko, alifanya intern miaka zaidi ya 12 iliyopita na post graduate (nadhani)... anastahili kuitwa Dr. na vituo anavyofunga vingi ni kweli vina matatizo, shida inakuja kwa serikali kwa ujumla kwamba vituo vyake (vya serikali) ndio vina hali mbaya zaidi kimajengo, vifaa na wafanyakazi, na yeye hana uwezo wa kufunga kwani yupo kusimamia private. ni muhimu tukubali kwamba kuna baadhi ya vituo vya fya binafsi lazima vifungwe

  Upande wangu naona tatizo la huyu dada ni anavyotreat watu wanaohitaji huduma, she looks down at people mara nyingine na pia hilo la wahindi limenisikitisha kwani hakuwahi kuonyesha kama ni mla rushwa (issues zake ni mahusiano na watu tu)
   
 15. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa yake ni kumpiga mti tu.
   
 16. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Tena humo kwenye mawizara ndo balaa kabisa! Mi nlishaacha kwenda maeneo hayo, huwa natuma mtu tu, unless nahitajika mimi mwenyewe personaly.
   
 17. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mmh! Kuna mtu kama yeye aliondolewa kwenye ofisi kama hiyo nchi fulani maeneo ya kusini huku baada ya kuwa anawaletea nyodo wadau wa vituo kama hivyo. Wadau wa ofisi husika wakaandamana hadi kwa waziri husika kwamba huyu ndugu umemwajiri kwa ajili yetu, na sasa hawezi kutuhudumia sisi tunavyostahili; hatuoni kama kuna umuhimu wa wewe kuendelea kumlipa mshahara wakati hatupati huduma inayostahili toka kwake.
  Nimepita pita pale wizarani bongo nikifuatilia nyaraka zangu za kufanya kazi ng'ambo, bahati nzuri sijawahi kumbana naye ila naamini kutakuwa na ukweli, hasa ukizingatia watumishi wengi wizarani makwetu, hususani wizara ya afya huzifanya ofisi za serikali kama za familia. Tujirekerebishe, hebu tuchape kazi.
   
 18. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  inasikitisha sana, halafu tunalaumu nchi haisongi mbele wakati wazalendo hawapewi fursa. Je malalamiko haya yamefika eneo stahili? Hakuna utaratibu maalum wa kutoa malalamiko anagalau mhusika akapewa onyo! Isijekuwa watu wanaumia halafu yanaishia hapa tunasema tumwachie mungu! Mkuu nakushauri uandike barua ya malalamiko in general bila kuonyesha kuna lolote ambalo ni personal kwenda kwa katibu mkuu/waziri! Sina hakika kama ndio sehemu stahili.
   
 19. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu anamlinda pale wizarani. Hata ukiandika bado haitasaidia kitu
   
 20. m

  mariavictima Senior Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanawake badilikeni. Mnapopata nafasi nzuri onyesheni kwamba tunaweza na hamkupewa kwa upendeleo. Inanisikitisha sana kila mara wanawake wenye madaraka kulaumiwa kwa utendaji wao. Hebu tujirekebishe ili ile fursa sawa ionekane.
   
Loading...