Mlipuko mkubwa leo alfajiri ni nini?

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Watanzania mlio Dar huu mshindo mkubwa wa mlipuko ni nini kwa mwenye taarifa?naomba kuuliza kwani hofu imetanda Mikocheni
 
ni ngurumog itokanayo na radi we mtoto wa mama toka ndani nenda kwenye ujenzi wa taifa, unataka kusingizia mabom.
 
Hata radi tu wewe hoi itabidi tukuhamishie G/Mboto ili likisanuka usikilizie milipuko inakuwaje.
 
Huwezi tofautisha mngurumo wa radi na bomu!!! Omba sana Tanzania iendelee kuwa na Amani, huko DRC, Rwanda, Somalia, Uganda katika milima ya Lira na kwingineko unakokufahamu hali kama hiyo ni siku nzima. Sasa wewe mara moja tu, hoi huwezi hata kutoka nje.
 
ni bomu limeripuka bahati mabaya pale lugalo. Nitarudi baadae kidogo
 
umepatia watu hapa tanzania ni waoga hasa wazee heee jamaani Amani huku wanaliwa!
 
Huwezi tofautisha mngurumo wa radi na bomu!!! Omba sana Tanzania iendelee kuwa na Amani, huko DRC, Rwanda, Somalia, Uganda katika milima ya Lira na kwingineko unakokufahamu hali kama hiyo ni siku nzima. Sasa wewe mara moja tu, hoi huwezi hata kutoka nje.
wewe Ndo umesema cha maana hapa tanzania watu ni waoga mno ,utaona wanavyo haha sasa utanzania ni issue,wewe subira Njaa inavyotafuna watu ndo utajua kama amani ipo au la,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom