Polisi yakamata wanafunzi UDOM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi yakamata wanafunzi UDOM.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHIPANJE, Dec 20, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Gari ya polisi imetinga katika chuo kikuu cha UDOM-COED majira ya saa 6 mchana na kuwakamata wanafunzi watano lakini bado kisa cha kukamatwa hakijafahamika.

  Wanafunzi hao ambao wanaingia kwenye ma block na askari dalili inayoenesha kuwasaidia askari ili kupatata watuhumiwa wengine.

  Tutajulishana mambo yatakavyokua punde itakapofahamika nini sababu za kukamatwa kwao.
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekamatw kwa kosa la kutoanzisha mgomo kwa kipindi kirefu kwani mabomu yamejaa central hakuna kwa kuyapeleka.
   
 3. Imany John

  Imany John Verified User

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  hahaha mbona bdo kuna ligi kali sana.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  wanataka muanzishe mgomo tena
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah
  polisi,watatoa maelezo
  cdhan kama ishu ni mg0m0
   
Loading...