Hivi kodi ya mtanzania inakwenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kodi ya mtanzania inakwenda wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mb-one, Dec 20, 2011.

 1. Mb-one

  Mb-one JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 550
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Ni swali ninalojiuliza kila mara,hivi kodi ya mtanzania inakwenda wapi,kwa sababu sioni maendeleo yoyote yaliyopo,mambo yafuatayo yananishangaza,umeme kukatika,maji ya shida,ufisadi ndio huo unazidi,mafuta ya shida,kushuka kwa dola,nisaidieni kwa hili je ni wapi maendeleo yetu?
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inakwenda bungeni kwenye posho za wabunge
   
Loading...