Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JESHI la Polisi Kanda ya Zanzibar limeiomba Jumuiya ya Maendeleo ya Wavuvi ya Watu wa Kojani (KOFDO) kutoa ushirikiano wa kiulinzi katika maeneo ya baharini ili kuweza kukabiliana na tishio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi posho wanapewa ile ile ama kunakuwa na posho? Alafu wengi ni wale wa chama chetu cha uzembe kila kukicha
2 Reactions
17 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dar es Salaam. The United Nations has relocated some of its operations to temporary offices in Dar es Salaam following destruction caused by recent flooding...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasoma kwa furaha habari za wachimba madini 33 waanaookolewa huko Chile baada ya ajali iliyowafungia chini ya ardhi kwa miezi miwili. Najiuliza hivi Tanzania tunakosea wapi? Kwa nini sisi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
vazi la taifa ndo haya haya mavazi tunayo yavaa. sio kusema eti hatuna mavazi hadi kamati iundwe kutafuta vazi la taifa kama tuna tafuta vazi la chama fulani au vazi la kundi fulani la watu. hilo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi nashindwa kuelewa utendaji wa jeshi polisi hasa kanda maalumu ya dsm.hivi hawajui kuwa kuna kikundi cha wahuni maarufu kama MATEMBO hapa ubungo mataa au ndio kulindana.Hiki ni kikundi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri ya X MASS wakazi wa Mji mzuri Morogoro, mji msafi unaovutia na kupendeza katika maeneo mengi. Tatizo kuna baadhi ya watu wanaochafua sifa ya mji huo. Nyakati za mchana ni wastaarabu wa hali...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wamegundua kuwa watu wenye aina ya jeni iitwayo ABCC9 wanahitaji takriban dakika thelathini za ziada za usingizi kila usiku kuliko wale wasiokuwa nayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wanachama wote wa chadema napenda kuwatakia heri ya kristmass na mwaka mpya na mapambano ya kutafta haki yenye kuleta maendeleo katika taifa yaendelee,mwaka 2011 ulikuwa mwaka wa mageuzi na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndizi zinafumuka tu kwa spidi zote Karibuni Moshi tufurahi pamoja kwandizi kama hizi Xmass njema
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Magufuri ni Kiboko kweli. Jinsi anavyokaripia watendaji wa wizara yake inatisha. Muda si mrefu uliopita ameonekana kwenye taarifa ya habari TBC1 akimkaripia Meneja wa Tanroad mkoa wa Dsm kama...
2 Reactions
100 Replies
11K Views
Watanzania wengi tumekaa zaidi kishabiki,mambo ya msingi tunayaacha,wanasiasa wanaiharibu nchi yetu tunashindwa kuwakemea, tunawatazama tu na tunapojaribu kufanya hivyo,hatufanyi kwa dhati,zaidi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
katika hari isiyo ya kawaida watanzania wanaendelea kuibiwa na kampuni ya TIGO ambayo hukopesha watu vocha ya shs. 400 na kuwataka walipe shs 440 ndani ya wiki hii ni sawa na riba ya 10% kwa wiki...
0 Reactions
19 Replies
43K Views
Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Ismail Aden Rage amechukua vyombo vya muziki vilivyokuwa vikitumiwa na bendi ya sensema malunde ya mkoani humo hali iliyopelekea bendi hiyo kusitisha kufanya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
foleni imeanzia ubungu kwenda kimara kunani tena mida hii? huko mbele mi niko baruti tokea saa mbili na nusu UPDATE: Nimekuta kuna gari semi trailer hapo korogwe limeharibika ndo limesababisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kutekeleza sheria ya kuwaondoa waliojenga mabondeni halmashauri ya ilala kupitia kwa meya wake jelly silaa wametoa tamko la kuvunja nyumba zote mabondeni ndani ya mwezi mmoja. je hili ni...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya watu hudai kuwa benki ya NMB ni benki ya makabwela. kwa mtazamo wangu kabwela ni mtu mwenye kipato cha chini, hivyo benki hii iko kwa ajili ya watu wa kipato cha chini Hata hivyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuliwahi kutokea, wakati muafaka wa kuwaondoa watu waliojenga mabondeni ni huu!!! Serikali ya mitaa na kuu wanatakiwa kuhakikisha mabaki yote ya nyumba yasafishwa mara moja kuhakikisha ndugu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wananchi manusura wa mafuriko Dar waonesha hasira zao dhidi ya serikali ya CCM. Mmoja wa waathirika alikataa kuokolewa na waokozi wa kujitolea,baadb ya kukaa siku ya 2 na familia yake juu ya paa...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
Mzee Hassan Nassor Moyo akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume nishani ya Shujaa wa Zanzibar iliyotolewa na Swahili Performing Arts Centre (SPAC) ambapo nishani kama hiyo tayari...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…