Wanachadema wote nje na ndani ya nchi,herini ya kristmass na mwaka mpya mapambano yaendelee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachadema wote nje na ndani ya nchi,herini ya kristmass na mwaka mpya mapambano yaendelee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOB SEEKER, Dec 25, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi

  wanachama wote wa chadema napenda kuwatakia heri ya kristmass na mwaka mpya na mapambano ya kutafta haki yenye kuleta maendeleo
  katika taifa yaendelee,mwaka 2011 ulikuwa mwaka wa mageuzi na wenye
  mafanikio makubwa katika chama juu ya harakati mbalimbali katika taifa hili
  natawakia heri ya kristmass viongozi mbalimbali wa chama akiwemo kamanda Mbowe,Dr. Slaa,Mnyika,Mdee,kiwia,wenje, pamoja na wengine wengi ambao walionyesha fikra za mageuzi katika harakati mbalimbali zilzotokea mwaka 2011 hakika hatutazisahau katika historia ya taifa hili.


  AHSANTENI SANA.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hivi inji hii bado kuna ubaguzi?
  Tupo wapenda mageuzi tusio wanachadema!
  By ze way , asante!
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Thanx kamanda...pamoja sana!! CHADEMA for change!!
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na kwako pia,pamoja na kuwa hujaniinclude in the short list uliyoiweka hapo.
   
 5. T

  TULIBAHA Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Poaaa mkuuuu mpaka kitaeleweka..............
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ahsante sana kamanda tupo pamoja!
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Chama cha Demu Malaya[CHADEMA].
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Peopooooooooozi Poweeeeeer
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Malaya mwenyewe
   
 10. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...ahsante kamanda tuko pamoja kwa sana...
   
 11. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Shukran sana mkuu. Asante sana sana
   
 12. m

  massai JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  asante kamanda , heri pia kwa watanzania wote na wanaharakati wote,
   
 13. S

  Stany JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pamoja
   
Loading...