hi foleni kimara vp tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hi foleni kimara vp tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanzania haswa, Dec 24, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  foleni imeanzia ubungu kwenda kimara kunani tena mida hii? huko mbele mi niko baruti tokea saa mbili na nusu

  UPDATE:
  Nimekuta kuna gari semi trailer hapo korogwe limeharibika ndo limesababisha foleni hiyo pamoja na magari yaliyoishiwa mafuta sbb ya foleni hiyo
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,880
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaaaaaaa, kuna wakti mwingne kuishi dar unakuwa kama mwehu hivi. Kila kitu mizinguo foleni hadi kwenye kuagiza bia bar
   
 3. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahaha ndyoko wapi imetokea hiyo
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,711
  Likes Received: 1,589
  Trophy Points: 280
  nimepita hapo da! Foleni hati hadi maili moja.
   
Loading...