Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

I know barclays started as a corporate bank then few years later it expanded into commercial,I would want to knw exactly when (dates n data if any) this all happened. thanx
0 Reactions
13 Replies
3K Views
GreaTthinkers Hivi ndivyo tunavyoaga miaka hapa JF, ili kuwa na kumbukumbu ni vizuri nawe ukaweka tukio unalolikumbuka lilikuchefua au kukuhuzunisha ili libake humu JF milele 1. Anne Makinda...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
RWANDA: 2011 was a year of progress – Kagame www.eastafricanewspost.com Dr. Willibrord Slaa Kila mmoja wetu anayo nafasi ya kuleta maendeleo nchini mwaka huu wa 2012.Tuongeze bidii ya kufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JE HIVI UNAJUA: Kwamba tofauti kati ya nchi masikini na nchi tajiri haitokani na umri ambao nchi inayo. Na hilo tunaweza kulitambua kwa kuangalia nchi kama India na Misri. Kwamba zina zaidi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele! mimi ni mgeni kidogo hapa jamvini.lakini naamini nitapatiwa ufumbuzi wa tatizo langu.kuna panya wananisumbua sana dukani kwangu.ingekuwa ni nyumbani ningewacontrol vizuri...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Tangu jana tunahangaika vituo vya mauzo hakuna mtandao
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa nyumba za kulala wageni katika manispaa ya Morogoro,wameagizwa na mkurugenzi kuwa kuanzia mwezi januari,2012.kulipa kodi ya "hotel levy" kupitia kampuni binafsi ya "BAMM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dah,tumeanza tena kuitafuta Dec 31,hivi huu mzunguko unamaana gani?
0 Reactions
0 Replies
802 Views
nimekaa kijiweni kwa msafisha viatu, hapa stori iliyopo ni aibu, jamaa wanalalamika kuwa askari kuuliwa na mdada kwa kuchomwa kisu marambili ni aibu kwa jeshi letu. kwani jinsi tukio lenyewe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Leo katika kipindi cha magazeti cha clouds FM kinachoongozwa na PJ nimesikitika sana,nilikua nasubiri kwa hamu sana habari ya MAGUFULI kuzomewa,ila PJ hakusoma hyo kitu hata heading tu,damn...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya! Kama kawaida nimekuwa napata mzio (allergy) pindi mkuu wa kaya anapo wahutubia wadanganyika!!! Kutokana na ushauri wa kitabibu nilishauriwa kuzima TV, Redio, Magazeti etc na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Kwanini hii radio haipati ban?? Au kuna mkono wa hii serikali??
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Wanabodi! Heri ya mwaka mpya, taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa kampuni ya shamba la miti ya miwati (TANWAT) ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na CDC (uingereza) na baadae...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nacheka cheka engmtolera leo,kwa yote yanayonifika leo Siwezi kusema mengi sana kwa ndugu na wapenzi wanguu Leo nawambia haoooo,yaliyonifika ndugu zangu,basi ndugu zangu nyoooooote mjue Dunia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tangazo la dawa mseto, ujumbe unaotolewa kwenye tangazo hili ni kuwa sasa mwanachi anachangia shilingi elufu moja tu kupata dawa hii kwa sababu gharama halisi imelipwa na serikali, ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ndani ya miaka 40 tu ya uhuru tulithubutu, tuliweza na tunasonga mbele kuua viwanda vya ndani, nadhani miaka 50 ijayo hatutakuwa na kitu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi linapotoke tatizo au janga lolote katika nchi yetu kauli ambazo viongozi wetu huwa wanazitoa zinanishangaza.Ilipotoke tatizo la mtikisiko wa uchumi na gharama za maisha kuwa juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kupandishwa watumishi vyeo ni mpango unaoeleweka na siyo jambo la dharura wala ajali. Kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali, mtumishi hupandishwa cheo kwa misingi miwili. Kwanza, kutimiza masharti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimeona nijikite kwenye mambo ambayo Kama tukiendelea ku criticize kila kitu mwisho wake tutakua tinazalisha taifa lalamishi na nisilotambua wajibu wake kwa Taifa na kutegemea nchi tu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule, anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…