Habari wana jamvi. naombeni ushauri.im a single mum,My daughter is 3years old, nataka kumpeleka shule ya bweni kindergaten.Mnanishaurije?Sababu ya msingi, naishi bush(kikazi), hakuna shule nzuri...
Swala la maadili limekuwa tatizo sugu sana katika jamii ya kitanzania,licha ya taasisi mbalimbli za dini na zisizokuwa hizo kulikemea.
kwa watu muishio Dar es salaam hili litakuwa si jambo geni...
Hii website ya usajili kwa wahandisi vipi tena??sijajua ni muda gani hili tatizo tangu lianze bt kwa upande wangu ni wiki nzima sasa kila nikiifungua inagoma with an error msg....e bana eeh...
Natoa hongera kwa rais wetu JK kwa teuzi za hivi karibuni hasa kwa watu hawa Mabalozi Nyanduga, Grace na Naibu katibu Mlawi. Teuzi hizi ni halisi sana kwani zimewapa watumishi wa umma moyo wa...
Nimekua nikijiuliza bila majibu juu ya umuhimu, na uwepo wa vyombo vyote hivi hapa Tanzania, Ni kwa nini serikali isiwe na chombo kimoja kati ya Tbs(Tanzania Bureau of Standards) Tfda(Tanzania...
kwa kweli we jamaa unaudhi kweli yaani'mimi napenda sana kumsikiliza kibonde akiongea'sasa we jamaa unamwingilia kila akitaka kuongea'acha hizo we mshambaa
Yani mimi nimechoka ka kama unakuja kcmc uage nyumani mana uwo mlolongo wa kufa mtu . Nimemleta mama yangu leo sasa moja asubuhi mpaka sasa sijamuona dr yani ni noma tumezungushwa na sina uwakika...
RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo...
baada ya chama cha madaktari tanzania(MAT) kuwaunga mkono madaktari walioko kwenye majaribio kazini(intern doctors) hatimaye muamala umeanza kusoma!wameanza kuwekewa fedha zao bank.
hivi ni kwa...
Kuna tetesi kwamba cdm inapanga maandamano kesho kupinga ongezeko kubwa ya nauli ya kivuko. Je kwa kuwa wanapinga nauli mpya, itawabidi wapige mbizi au watatii amri ya magufuli ya kulipa nauli...
Mimi binafsi naona Dr anawaangusha wapiga kura wake kwa yeye kutotaka kusema anaumwa nini na sababu za ugonjwa wake anapo ulizwa. Kwanini hasemi? wapiga kura wake wana haki ya kujua.Amewaweka njia...
Kuna acc si chini ya nne na page moja zote zinamuelezea Mh. Zitto Kabwe kwenye mtandao wa Facebook.
Naomba ufafanuzi kutoka kwa zitto kwasababu tunaweza kuwa tunamlaumu kwa tunayoyaona kwenye acc...
Nina kiwanja changu milimani nataka kujenga, tatizo ni kwamba pamoja na kuwa eneo limepimwa na barabara zipo katika ramani, barabara hizo hazijachongwa na hakuna mpango wa manispaa kufanya hivo...
Wote tumeshuhudia jinsi mvua na radi zilivyoleta maafa jijini dar es salaam hadi watu kupoteza maisha, lakini utabiri wa hali ya hewa kutoka tma mara baada ya taarifa za habari jana tar 19 hakuna...
Hakuna kitu kibaya kama kumwamini mkeo ama gfriend wako alafu sisku ya siku ukaj a
kukuta ndie msaliti wa ndoaa yako hapo ndipo unasikia amtu karusha kisu kwenye **** la mkewe
ukijiuliza amefwata...