tafadhali wanajamvi- naomba mnisaidie kufahamu Salvan Kagaruki Rwegasira ana uhusiano wowote na Salva Rweymamu?? Ameshawahi kufanya kazi wizara ya nishati?? Please kwa anaemjua anipatie msaada...
Doctor WILBROD SLAA kesho anatarajiwa kuwasili ktk mkoa wa mbeya ni kwa ajali ya kuja kuwashukuru watu wa nzovwe na mbeya vijijni kwa jinsi walivyoonyesha moyo wao wa kuiamini chadema;ikumbukwe...
KUFUKUZWA KWA HAMAD RASHID KUMEINGIA KTK HATUA MPYA KWA MHUBIRI WA DINI YA KIKRISTO KUGUSWA NA HATUA YA CUF YA KUMFUKUZA MHESHIMIWA H.RASHID MBUNGE WA WAWI PEMBA HABARI KAMILI SOMA HAPA:
na...
Sasa NI-HASA na wala SI -SIASA ukishuhudia kiongozi mwandamizi anapanda jukwaani na mtoto kujitambulisha yeye si bwabwa...........!!! huku Maalim naye anamuandama mzee Tendwa...
Mgomo wa madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma umemalizika jana asubuhi baada ya madaktari hao kulipwa madai yao juzi jioni.
Mgomo huo uliosababisha kudorora kwa utoaji wa huduma kwa...
Wana JF.
Raia mmoja wa Marekani (jina tunalo) amemsakizia mbwa, msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, na kumsimamia mbwa huyo katika kumwingila msichana huyo kinyume cha maumbule na...
Kwa kawaida kiongozi akitoa kauli au tamko jamii inafahamu kuwa anamaanisha. Hii ni kutokana na imani yetu kwamba kiongozi anapozungumza anakuwa well informed na kauli yake inatokana na taarifa...
Leo Mhe John Pombe Magufuri, ameutangazia umma kuwa daraja la kigamboni liko njiani kujengwa muda wowote kuanzia sasa, binafsi najiuliza ndio kupooza hasira za wana-...
Jamani wana JF kuna grocery moja ipo mwenge pembeni na HOME GYM yaani kama unatokea msikitin mwenge unaanza mlango wa grocery hiyo ndiyo unaingia mlango wa HOME GYM.
Ukifika katika grocery hiyo...
Ni furaha yangu na kwa wote walioweza kuingia mwaka mpya salama lakn pia natoa pole kwa wale wote ambao kwa namna moja ama nyingne wamekutana na vikwazo katika kuumaliza na kuingia mwaka mpya...
kijana mmoja anayejulikana kwa jina la warioba masaho a.k.a Manyumba.mkazi wa buzuruga/nyakato jijini mwanza,ambaye alikuwa akitafutwa baada ya kufanya mauaji katika kitongoji cha...
UWANJA wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere umekumbwa na kashfa nyingine, baada ya abiria, Mtanzania aliyekuwa tayari amegongewa muhuri wa uhamiaji kwenye hati yake ya kusafiria kwenda nje ya nchi...
Sunday, 08 January 2012 13:12
Elias Msuya
KUKIWA na maandalizi kabambe ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni, uchunguzi umebainika kuwa mji huo sasa umeyeyuka kiaina na huenda usitekelezwe tena...
Tangu amwagiwe tindikali kwa sababu ambazo hadi leo hazijulikani kutokana na kujitokeza madai mbali mbali kuanzia ugoni hadi uanaharakai, Mwandishi Saidi Kubenea amekuwa akienda India kila mara...
Ili kupunguza foleni kwa sasa wakati tukisubiri ujenzi wa barabara za kupita juu, na kuhakikisha kuwa Sekta Yetu ya Elimu inakuwa bora zaidi kwa ngazi zote (hasa shule za msingi), napendekeza...
Wiki hii yameripotiwa matukio kadhaa ya ujambazi ambapo watu wameuawa kwa nyakati tofauti na hivyo kuleta mtikisiko unaotishia amani ya nchi yetu. Kibaya zaidi, miongoni mwa matukio haya...