Doctor Slaa ndani ya Mbeya kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Doctor Slaa ndani ya Mbeya kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamanda mkuu, Jan 9, 2012.

 1. k

  kamanda mkuu Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Doctor WILBROD SLAA kesho anatarajiwa kuwasili ktk mkoa wa mbeya ni kwa ajali ya kuja kuwashukuru watu wa nzovwe na mbeya vijijni kwa jinsi walivyoonyesha moyo wao wa kuiamini chadema;ikumbukwe kuwa kata ya nzovwe ilikuwa ikishikiliwa na chadema na diwani wake kujiudhuru lakini licha ya yote wananchi wa nzovwe bado waliendelea kuimini chadema na kuipa ushindi wa kishindo
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbeya Mjini ni kama anaenda nyumbani kwake Karatu!
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  aende sengerema akamsalimie wiliam ngeleja.
   
 4. N

  Njingo Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampen zinatarajia kuanza ndani ya chama.ZITO nae aende nyamga kwa wenje.FREEMA...aende kuMTWARA.siku zote dr alikua wapi?Watu tume kumbuka stori zake jukwaani jicho linamtokaga sana.karibu na kwetu uyole.lakini ktk (ushua) nakumitano tunamtegea KABWE.
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ni nzuri sana kutembelea wapiga kura mara kwa mara
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr slaa ni tunu ya Taifa la Tanzania na Afrika.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Unamatusi wewe unadhani hao wanagawanyika kama peremende umeula
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwanini isiwe Lindi au Mtwara?
   
 9. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Huko hakuna political influence, CDM wana concentrate na Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kaskazini, Kanda za Nyanda za juu kusini.
   
 10. l

  lugendosisty Senior Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dr. Slaa,rais toka moyoni mwangu karibu Nyumbani. Kuja kwako ni kuamsha ari za waliokata tamaa na wasio na jawabu la matatizo yao,hatutegemei kupata pesa kama si tisheti au kanga toka kwako bali ni tumaini jipya kuwa hali ngumu tulio nayo ni mapito na Tanzania Yenye NEEMA yaja.
   
 11. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Welcome home
   
 12. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Safari njema my presda wa kweli si jk uchwara
   
Loading...