Je huu ndo mwisho ka cuf.....?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Sasa NI-HASA na wala SI -SIASA ukishuhudia kiongozi mwandamizi anapanda jukwaani na mtoto kujitambulisha yeye si bwabwa...........!!! huku Maalim naye anamuandama mzee Tendwa, muda si muda mwanasheria mkuu anamalizia. upande wa pili ukisikiliza hoja za HAMADI Rashid (...). nawauliza wenzangu mnayefuatilia timbwilitimbwili hili je huuu ndo mwisho wa CUF.?
 
kumbe kupanda jukwaani na mtoto ilikuwa na maana ya kujibu tuhuma za kuwa bwabwa! kafu kwisha habari yao. inawezekana huyo mtoto akaanza kuwa punga mapema kuliko mdingi wake! kwi kwi kwiii
 
Back
Top Bottom