Huyu ni nani??

Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
318
tafadhali wanajamvi- naomba mnisaidie kufahamu Salvan Kagaruki Rwegasira ana uhusiano wowote na Salva Rweymamu?? Ameshawahi kufanya kazi wizara ya nishati?? Please kwa anaemjua anipatie msaada hapa wa maelezo yoyote. Asanteni
 
Nihakikishie kwanza kama wewe si Al-shabaab afu ntakueleza, maana usijekua na mpango wa kumlipua bure!
 
Nihakikishie kwanza kama wewe si Al-shabaab afu ntakueleza, maana usijekua na mpango wa kumlipua bure!

ndugu Pilu, hakika mi sio alshabaab, please usiwaze kumlipua, i just want to know the guy,iwe postive side au negative side nitafurahi,tena saanaaaa tuu!!
 
kitu gani umekisikia juu yake tushirikishe uliyoyasikia kwake halafu utaambiwa ninani unaleta uspy ndani ya jf umefeli mkuu
 
Ninamjua utanihakikishia vipi wewe sio Boko haram , Usijemdhuru!

kuna suala tulikuwa tunabishana kuhusu meremeta,jamaa wanasema anahusika pia na anakudugu na yule jamaa wa mawasiliano wa magogoni! Kaka u-boko kharamu hamna bwana!!
 
Back
Top Bottom