Hatimaye leo mkataba kati ya serikali na shirika la taifa la hifadhi ya jamii(NSSF) kuhusu ujenzi wa daraja la kigamboni umesainiwa.Ujenzi huu utafanywa na kampuni kutoka china(CHINA RAILWAYS) na...
UWANJA wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere umekumbwa na kashfa nyingine, baada ya abiria, Mtanzania aliyekuwa tayari amegongewa muhuri wa uhamiaji kwenye hati yake ya kusafiria kwenda nje ya...
Habari nimezisikia ya kuwa Muhidini Ndolanga kachezea kichapo cha maana msikitini magomeni ambapo yeye ni mjumbe wa bodi ya wadhamini wa msikiti huo wa mchangani.
Imeelezwa kulikuwa na...
Jamani mabasi yafanyayo route mbali mbali hapa dar yenye chata ya njano na nyekundu yaliyoandikwa JAY 3 KARAN kwenye kioo chambele nasikia mmiliki ni one among them look the sign of the car chasis...
WATU watatu wamefariki dunia katika matukio kadhaa tofauti, likiwamo la baba kumnyonga mwanaye kwa mikono baada ya ugomvi kati yake na mkewe.
Wakati mauaji hayo ya kinyama yakifanyika, watu...
MP acquires land for building new hospitalArusha Urban lawmaker Godbless Lema has secured 400m/- for buying a plot at Burka area in the city where a new hospital will be constructed.
Im very...
Jamani nimesoma gazeti moja hapa hoi
askofu mmoja wa kanisa la anglikana songea ameomba serikali
kurudisha watu wote waliokutwa na majanga ya mvua na kuepelekwa
kambini waruddishwe vijijini kwao...
Wadau
Nimefanya kautafiti na kugundua katika siku mbili tatu hizi kumekuwa na katika-katika ya umeme katika maeneo kadhaa jijini (huenda na mikoani) kukatika ambako kunafana kabisa na wakati wa...
Hatimae serikali kupitia wizara ya miundombinu,imedsaini mkataba wa ujenzi wa daaraja la kigamboni lenye urefu wa kilomita 4,2.
Mradi ambao utafadhiliwa na NSSF kwa asilimia 60 na serikali kwa...
Habari za kusikitisha mmiliki wa zahanati moja maarufu jijini iliyopo mtaa wa swahili kkoo dr f maro amefariki tar 7jan12 mungu aiweke mahala pazuri roho yake
Wadau nimepita raiamwema nikakuta hio artcle...na yenye Kuendelea...plz fuatilia...
Swali: NSSF ya sasa, hata kwa jina, ni tofauti sana na ilivyokuwa miaka ile
wakati ulipoingia. Leo mna...
John Heche
Nimesikitishwa sana na hali niliyoikuta leo Muhimbili hospital, Watanzania wenzetu wanakufa kwa kukosa huduma wakati viongozi wa serikali wakiugua wanaenda kutibiwa Appolo India...
GreatThinkers,
Taarifa za uhakika kuhusiana na Jambazi lililouwawa mgodini Geita lilikuwa ni Raia la Tanzania na mkazi wa Maswa-Kwa hiyo ile Passport ya Rwanda ilikuwa ni Feki.
Jambazi lile...