Blog kuwa na habari zinazofanana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blog kuwa na habari zinazofanana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, Jan 10, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Huwa najiuliza,

  Utakuta blogs kibao zina taarifa moja, at tyms cut & paste!

  Inakuwaje hii?
   
 2. luck

  luck JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Kwa mtazamo wangu hii ni unfair. Kwa sababu kupata taarifa nayo ni costly.
   
 3. 1

  19don JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mtaa kwa mtaa, jiachie na michuzi
   
 4. c

  chinga 1 Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijisifii lakini ukisoma habari zangu sidhani kama zinafanana na blogs nyingi jaribu halafu nipe jibu ingine .
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  ni kweli zinafanana sana...tena hadi picha wana copy and paste...haipendezi..


  Yako ipi?
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unajua blog ni sawasawa na vyombo vingne vya habari,kwahyo ndugu yangu hili suala kwa kifupi halikwepeki,
  ila kuna some blogs zinakuwa na habari tofauti na nyingne,na nyingne unakuta zina share habari.
  Mfano hebu check hizi mbili alafu unipe jibu
  GSHAYO
  na
  Treasure House Within You
   
Loading...