Dr Maro afariki dunia

Dr Maro afariki dunia

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,414
Reaction score
199
Habari za kusikitisha mmiliki wa zahanati moja maarufu jijini iliyopo mtaa wa swahili kkoo dr f maro amefariki tar 7jan12 mungu aiweke mahala pazuri roho yake
 
kaka huyo ni barnabas maro ama?
Habari za kusikitisha mmiliki wa zahanati moja maarufu jijini iliyopo mtaa wa swahili kkoo dr f maro amefariki tar 7jan12 mungu aiweke mahala pazuri roho yake
 
Kaka ana uhusiano na huyu Maro wa hapa udsm??
 
je ni yule aliyekua daktari wa mhe.mzee mkapa?
 
...Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN

4f0241f4ac820.gif
 
Habari za kusikitisha mmiliki wa zahanati moja maarufu jijini iliyopo mtaa wa swahili kkoo dr f maro amefariki tar 7jan12 mungu aiweke mahala pazuri roho yake

... Kwa vyovyote vile hii habari ingekuwa na ufafanuzi zaidi ingekuwa na ukamilifu wa kutosheleza ... kwa sasa hayo tuyaaache kama funzo!!!

... Poleni sana wa Wafiwa na tunaomba Mungu kuiweka Mahali peme peponi Roho ya Marehemu!

kaka ufafanuzi gani? Wakati umeambiwa amekufa lazima useme ufafanuliwe nini
 
mkipatikana wawili wengine kama wewe nchi inageuka kama misri
 
rip
dk maro MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI
HOPE NDUUGU AMTOANZA KUGOMBANIA MALI KABLA AMJAMZIKA BABA YETU JAMANI
 
Back
Top Bottom