Ni Mgawo au Ngeleja Anapasha!!!!??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Mgawo au Ngeleja Anapasha!!!!???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Jan 10, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Wadau

  Nimefanya kautafiti na kugundua katika siku mbili tatu hizi kumekuwa na katika-katika ya umeme katika maeneo kadhaa jijini (huenda na mikoani) kukatika ambako kunafana kabisa na wakati wa makali ya mgawo wa umeme kutokana na nyakati, maeneo na urefu wa masaa ya kukatika huku


  Najiuliza ikiwa ni mgawo au la, kwani haujatangazwa (au mmesikia?) au kuna hitilafu/matengenezo ya mitambo


  Naenda mbali zaidi na kuwaza huenda ni mbwembwe tu za Ngeleja kutaka aendelee kutamba MAGAZETINI!!!!
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  duuh! huu kweli mgawo
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha haah!! Mbwembwe tena....!!
   
 4. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo vitu serious unaandika kwa lugha ya utani, sidhani kama ni mbwembwe. Labda wenye full details watujuze.
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mmemdis sana.
  Kitambo sana hana hela ndiyo mana kaanzisha mbwembwe tena anajua mking'aka anajimegea kajifungu na kudai hako ni kakushughulikia tatizo hilo la zarula au hujui kuwa kufa kufaana???
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Duh, Saluti kamandandio maana ya kuwa na jicho la tatu, ahsante!!!
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ama ndiyo yale matatizo yake na Askofu Z. Kakobe?!
   
Loading...