MP Acquires Land For Building New Hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MP Acquires Land For Building New Hospital

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngoromiko, Jan 10, 2012.

 1. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  [h=2]MP acquires land for building new hospital[/h]Arusha Urban lawmaker Godbless Lema has secured 400m/- for buying a plot at Burka area in the city where a new hospital will be constructed.
  “I’m very happy… my dream has come true,” he said, stating that the proposed new health facility will serve thousands of people in Arusha.
  Recent reports show that expectant mothers coming for maternal care at the Mount Meru Regional Hospital’s Maternity Ward are forced to share a bed – up to four on a single bed, regardless of the nature of their illnesses.
  According to Lema, the payment for the plot has already been made and construction will begin soon. “I tried to contact my colleagues in London and they managed to raise the amount…We’ll use different methods to accomplish this project,” he said.
  During the 2010 general election campaign rallies, the Arusha MP pledged to construct three hospitals in Arusha city.
  Records indicate that Mount Meru, the sole major health centre in the region, is the second largest referral hospital in the country, serving about 20 other smaller district hospitals. The centres cater for about 100,000 patients a year.

  SOURCE: THE GUARDIAN

  Comment: Chonde chonde wanasiasa, pamoja na mapungufu kwenye huduma zetu, bora tuendelee nazo hadi hapo tutakapoziboresha wenyewe kuliko kupatiwa misaada yenye masharti ya kishetani.
   
 2. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mbona sioni inapoonyesha zimetoka kwa Cameron au zikitoka uingereza ni za Cameron? Nawe kuwa makini na hoja zako vinginevyo toa ufafanuzi zaidi
   
 3. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Milioni 400 toka UK !!!... By the way, natoa tahadhari tu kwamba huyo mjomba aliyemchangia asijekuwa kwenye mtamdao wa Cameron.
   
 4. e

  evoddy JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unaposema hizo pesa zimetolewa na cameroon unamaana gani je unajua serikali yako inategemea pesa kutoka london kuendesha nchi?

  Acha wabunge wa chadema wafanye kazi mmezoea ahadi hewa kutoka CCM
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii ni moja ya ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni.Nimpongeze Mheshimiwa Lema kwa kuanza kutimiza ahadi zake.G Lema akitimiza ahadi zake walau kwa 50% uhakika wa kuchaguliwa ni wazi kwake na chama chake.Mambo ya maandamano na ususiaji wa vikao vya baraza la madiwani vitamweka katika nafasi ngumu na imani ya wananchi waliomchagua itaondoka.
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  JK aibu yako!! Wewe wanunuliwa suti, wenzako wanajali wananchi!
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Kama misaada yote ni ya Cameron basi we ungesha mzalia watoto kibao
   
Loading...