John heche muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John heche muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Daudi Mchambuzi, Jan 9, 2012.

 1. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,815
  Likes Received: 36,910
  Trophy Points: 280
  [h=6][​IMG]


  John Heche

  [/h][h=6] Nimesikitishwa sana na hali niliyoikuta leo Muhimbili hospital, Watanzania wenzetu wanakufa kwa kukosa huduma wakati viongozi wa serikali wakiugua wanaenda kutibiwa Appolo India kwa kodi zetu, leo wanashindwa kuwalipa madakitari millioni 176 waokoe maisha ya ndugu zetu, vijana wa Tanzania amkeni tuokoe nchi hii, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA HAYAWEZI KULETWA NA MAFISADI WALEWALE WA CHAMA KILEKILE WAKIENDELEZA YALEYALE, ETI KWA KASI, NGUVU NA HARI MPYA,[/h]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  nimependa hio ganda ukija nalo niko nyuma yako kaka tuanzishe maandamano hii nchi inanuka imeozaa lakini atutaaribika wote
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Muhimbili panasikitisha jamani msikie hivi hivi tuu.
   
Loading...