Daraja la kigamboni lanukia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daraja la kigamboni lanukia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jan 9, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hatimaye leo mkataba kati ya serikali na shirika la taifa la hifadhi ya jamii(NSSF) kuhusu ujenzi wa daraja la kigamboni umesainiwa.Ujenzi huu utafanywa na kampuni kutoka china(CHINA RAILWAYS) na utagharimu kiasi cha sh.bilioni 214 na milioni 630.NSSF itachangia 60% ya gharama na serikali itagharamia 40%.Muda wa kandarasi ni miezi 36 ingawa haijaelezwa ujenzi wenyewe utaanza lini.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Imeelezwa kuwa mkandaraji atakabidhiwa eneo la mradi tarehe 1 February na Mradi utaanza April mwaka huu wa 2012 na utakamilika January 2015, mwaka wa uchaguzi mkuu.
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bora hakutakua na mambo ya kupiga mbizi tena....


  piga kazi mheshimiwa achana na porojo za wabunge wa dar,siku ya uzinduzi wa daraja utawaona wamejazana na mashati yao ya kijani....
  [h=3][/h] [​IMG]
  Waziri wa ujenzi Mh. John Magufuli ​
  [​IMG]
  Map ya Daraja la kigamboni​
  [​IMG]
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Woah! Then that's good news.
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nssf wako juu sana
   
 6. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni habari njema.
   
 7. u

  uwingu Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni habari njema. Bila shaka litachochea maendeleo zaidi upande wa kigamboni. Big up Magufuli.
   
Loading...