Mi Mkenya, ati naizimikia kweli Tanzania!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mi Mkenya, ati naizimikia kweli Tanzania!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng`wanakidiku, Jan 8, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Great Thinkers nataka kuja ishi TZ, naombeni ushauri.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Njo tu.
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante!
   
 4. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  uache ukabila kwanza , pili itabidi ukae zaidi ya miaka 100 ndo upate haki ya ardhi
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Karibu sana nyumbani ngosha!
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona wanitisha speedy! Sawa nitaacha ukabila ila kwenye ardhi mtanisamehe, lazima ni nunue ardhi kubwa!
   
 7. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mrimi, ila sielewi nini maana ya "ngosha"
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakushauri ubaki uko kwenu maana wtz wenyewe wanatamani kuikimbia nchi yao
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Karibu yakheeee, Tz kubwa unataka kuishi maeneo gani yakheee. Bara au pwani? Unataka kujishughulisha na nini yakheee, kupara-samaki au kupara-miwa???? Unataka kushika nini ukija, kushika dari au kushika ukuta? Kifupi hii nchi ina mambo mengi utashindwa mwenyewe...
   
 10. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante ndugu, ila sasa mbona mishawasha mingi hivo! we mpemba nini? maana nasikia TZ wapemba ndiyo zao!
   
 11. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nitavumilia tu, bora TZ siku nikiishiwa naweza kopa kuliko Kenya yangu.
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wapemba zao nini? Umeskia wapi?
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  Kwa hiyo bora matatizo ya tanzania kuliko ya kenya?kweli wakenya mazezeta
   
 14. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si walikuja kimbia kipindi kile cha machafuko kuja mombasa,
   
 15. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mazezeta ndiyo nini?
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ati huu ni urongo
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Muongo mkubwa wewe jina la kisukuma then wajidai Mkenya?
   
 18. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Karibu sana bongo land. Tena wewe inaonekana baba yako ana asili ya huku usukumani, huenda alikuja Kenya kutembea akaacha kitu. Jina lako limekaa kisukuma ati. Karibu nchi ya asali na maziwa thou ukiwa huku usiendekeze ile Lazy-but- know - it - all - attitude waliyonayo waKenya wengi.
   
 19. +255

  +255 JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Ngosha neno la kabila la kisukuma maana yake ni 'Mwanaume'
   
 20. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Oh mungu wangu, mashukuru sana kwa kunifananisha na hilo "sukuma" je ni "sukuma wiki"?
   
Loading...