Askofu aomba waliokumbwa na mafuriko warudishwe vijijini kama omba omba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu aomba waliokumbwa na mafuriko warudishwe vijijini kama omba omba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 9, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Jamani nimesoma gazeti moja hapa hoi
  askofu mmoja wa kanisa la anglikana songea ameomba serikali
  kurudisha watu wote waliokutwa na majanga ya mvua na kuepelekwa
  kambini waruddishwe vijijini kwao kama omba omba

  akiongea kwa uchungu askofu huyo amesema serikali imekuwa ikiwalea hawa
  kuwapa pesa nguo kila siku na leo wanapewa viwanja sehemu ambazo watu wengine
  wana nyumba mbweni lakini awakai je wanauhakika watu hao wataishi huko wanapowapeleka??

  Askofu guto ameomba serikali kuacha kuwa kama miskule mkuu wa mkoa makamba aliwarudisha
  omba omba ndan ya siku 3 sasa hawa unawapelka kambini wanarudi tena mbaya kesho unawakuta wakopale
  pale kuna haja gani ya kuwaacha dar es salaam..kinachotakiwa serikali waakiwa wanawapeleka wawaandalie
  nynzo maalum ya kuwasaidia katika kilimo kwanza ...kuna watu wamekimbia kilimo huko kwao na ni walimaji wazuri kweli wamekimbia awana nyenzo za kuwasaidia wawape mbegu matrekta ya kulima waweze kutuletea mazao wakati wa kuvuna amesema askofu huyo.....

  Mmmhhh nawakilisha tu je wewe ungewarudisha kijijini??
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  hii ngumu sana. kama ni watu wenye akili zao watakuuliza kuwa uliwaleta mjini?...amini usiamni, hata bila thumni ya serikali wangesurvive tu!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Pk
  najiuliza mtumishi wa mungu kama huyu iwapo watu awatoi sadaka sijui maombi yao uko nahisi anawaombea wafe kabisa ama wauze mali zao wamplekee ni muhimu sana nowdays kumuomba mungu akuonyeshe kanisa sahihi kama mnavyoomba wenzenu kutoka kwa bwana....kuna church nikiwa mwanza jamaa alivyoona napelekwa na gari nrudishwa na gari past akaniomba kikao akaniambia ati ananiingiza kwenye kamati za maendeeleo nkwamwambia sina muda ntakudanganya ila ntatoa ushauri niwezavyo...wiki kama si tatu akanipigi ameonyshwa nina account tatu moja iko stanbic/ama standered charted sikumbuki alitaja kati ya hizi nikatoe hela zote nipeleke nikamwambia sina hata acc katika ulizotaja ...akanipigia jioni nizidi kuomba niimarishe imani ntakuwa na zaidi ya account moja kwenye hizo benki ,,nkamwambia amen kweli leo natembea na atm card za hizo bank sasa hizi za kusafisha account tuwe makini tutoe pale mungu anapotuelekeza ..uwezi babako na mamako wanakufa na njaa unaenda kusafisha account yako hii ni laaanaa nawaambia
  watch out ogopa mnaatoa kitu alafu mmoja wenu analalamika unajua hata dekio atuna baba naniii ile unapeleka laana akikisha mko kitu kimoja
   
 4. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Askofu amekosa ya kuongea kanisani?
   
Loading...