Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kibwana ni gumzo kubwa ktk radio yetu Magic Fm. Mbona anataka kuifanya km Clouds Fm ya Kibonde? Manesi wamesema hawawezi kufanya kazi na madaktari wa jeshi kwa sababu historia inaonyesha mwaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vita vya maneno baina ya Ufaransa na Uingereza vyaongezeka,Sarkozy aonyesha kudharau Uchumi wa Uingereza! Ugomvi na vita vya maneno kati ya wakoloni wakongwe wa Ulaya yaani Ufaransa na Uingereza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nipo hapa Muhimbili madakitari wamarejea na kufanya kazi kama kawaida naona na wagonjwa wanamiminika kwa wingi Sijajua Hospitali nyingine inakuwaje Wenye updates from Mwananyamala na amana...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ikiwa ni siku ya tatu tu tangu mheshimiwa mmoja abaininishe kuwa kile wanacho dai madaktari kina sura ya ubinafsi na kwamlolongo wa hesabu ndefu kuwa hakijazingatia uwezo wa serikali kibajeti leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Kwa mfano, mimi kwenye sekretarieti hata posho za vikao huwa sichukui, nadhani na mwenzangu January naye sidhani kama huwa anachukua posho, kwa sababu tukifanya hivyo ni kama tunakiumiza chama...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Maana ikiwa tumerukwa akili zetu ni kwa ajili ya nani? Au ikiwa tunazo akili zetu timamu ni kwa ajili ya nani? Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, tuwe wakweli, tuwasaidie wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua raia wa kawaida(normal citizens) ni wapi? na wale ambao sio wa kawaida(abnormal citizens) ni wapi? maana imeshakuwa ni kawaida hususani kwa viongozi wetu na vyombo vya habari kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani!!! Mimi sjamuelewa mkuu wa mkoa wa dsm eti mambo yanaenda vizur katika hosptali za jiji na wakati waandishi walioko eneo la tukio wanasema hakuna lolote,ni mateso haswa! Pia anadai...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NAIBU Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi katika ununuzi wa mashine 26 za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello, wapenzi wa jamii forums, kwa mara yangu ya kwanza nimejitupia kuhoji walioko makanisani. Je kuruka na kutoka jasho wakati wa sifa ni utukufu kamili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale. Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
Kamanda Kova amefanya press conference, baada ya Jeshi la polisi, Kanda Maalum ya Dar es salaam, kukamata watu kadhaa kwa tuhuma za makosa mbalimbali. Mmoja wao amekamatwa kwa tuhma za kujifanya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
mi hii kampuni ya tigo imenichosha,na kutokana na huduma zake nadhani ndio maana hata wale wazee wa ku-cameroon wakatumia jina lao.mi juzi nimejiunga na huduma ya internet siku,kwa vile ckuwa na...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Juzi tu tumesikia kwamba msafara wa VP umepata ajali na kwa taarifa nilizosoma leo kwenye gazeti ni kwamba askari polisi wawili wamefariki na wengine hali zao ni mbaya hospitali. Nimekaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF hii ishu ya posho naona italipeleka taifa sehemu mbaya nionavyo mimi ni lazima iundwe kamati ya kitaifa ijadili ishu za posho kwa ujumla ikizingatia umuhimu wa kila mtumishi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
......."Hakuna chochote unachopata ...taabu tu.........hulali usiku...mimi sitaki kabisa, nikimaliza naenda kufuga kuku...." Haya ndio baadhi ya maneno ya mtot wa mkulima......ni kweli hapati...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikal inadai haina pesa wakat wanaongeza posho kwa wabunge?Na km ukwel kwa mujbu wa tangazo la T.R.A,tena wamempa muuza sura maarufu nchin JK,na anasema hv;kila unaponunua k2 chochote chenye vat...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Binadamu wenigne kweli ni wa ajabu, soma habari yenyewe hapo chini! Afghan woman 'killed for giving birth to girl' - Yahoo!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mchoro wa katuni ya Masoud K ndio uliofunga Mwezi huu wa Januari 2012 kwa katuni maridadi kabisa.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
naomba cv ya mbunge wa sumbawanga mjini aeshy hilaly wadau
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…