kweli aliyependekeza muitwe tigo apongezwe sana kwani aliona mbali!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
mi hii kampuni ya tigo imenichosha,na kutokana na huduma zake nadhani ndio maana hata wale wazee wa ku-cameroon wakatumia jina lao.mi juzi nimejiunga na huduma ya internet siku,kwa vile ckuwa na salio la kutosha la kujiunga na huduma ya mwezi kwa wakati huo,cha ajabu kila siku wananiunganisha na huduma hiyo bila mi kuomba!hata,nikitaka kujiunga na ile ya mwezi wanakataa wanasema eti nimeshajiunga na hii ya siku!ukiwapigia huduma kwa wateja ndio bogus kweli hata wao wanakuuliza sasa sisi tufanyeje kweli hilo ni swali au jibu?huduma kwa wateja walikuwa ttcl enzi zile,mteja hadi unaridhika cio haya ya cku hizi cjui wanayaokota wapi?na kwanini huduma nyingi jinsi ya kujiunga ni rahisi,maelekezo yapo wazi!ngoma ni pale unapotaka kusitisha huduma husika.ushauri wangu labda hili jina ndio lina laana,kwani huduma zenu kila cku ni vululu vululu tu!au kama kuna mdau anaweza ni saidia jinsi ya kujiondoa kwenye huduma hii.
 
Back
Top Bottom