Kwaya zetu

Anco pete

New Member
Jan 17, 2012
1
0
Hello, wapenzi wa jamii forums, kwa mara yangu ya kwanza nimejitupia kuhoji walioko makanisani. Je kuruka na kutoka jasho wakati wa sifa ni utukufu kamili?
 
nimejitupia kuhoji walioko makanisani. Je kuruka na kutoka jasho wakati wa sifa ni utukufu kamili

yaani ungeliihamisha pale kwenye page ya DINI/IMANI labda ungelipata majibu.

hapa si sehemu yake.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom