naomba cv ya aeshy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba cv ya aeshy

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOMA, Jan 30, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  naomba cv ya mbunge wa sumbawanga mjini aeshy hilaly wadau
   
 2. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Acha kutusumbua na wabunge wa magamba humu! Haya na wewe nakupa homework naomba cv ya profesa Ngonyani maji marefu mbunge wa Korogwe:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hana cv ya maana zaidi ya kuwa na kashfa ya ujambazi na kufanya mapenzi na wake za watu. Mbaya zaidi ni udini wake aliouonesha kwa kukashifu wakatoliki sumbawanga.
   
 4. P

  Ptz JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Aeshy Kharufan Hilaly birth 1973, 1983 -1989 Jangwani primary School sumbawanga, 1990-1992 Mazwi secondary school sumbawanga,aliishia form three baada ya kufukuzwa kwa kosa la Ulevi, ubakaji na kuwa mmoja wa waanzilishi na mwanakikundi wa kikundi dharimu kilichojurikana kama BAGDADI kikundi hiki kilikuwa tishio kwa shule ya sekondari mazwi na nje ya shule kwa ulevi, uvutaji bangi,utoro, ubakaji na wizi, 1992-2007 kazi alizofanya sizitoi hapa kwa manufaa ya kutopigwa bun na mods ya mwaka mzima, 2007-2010 mkuu wa idara ya uchumi na miradi ccm sumbawanga mjini, 2010 todate mbunge wa kuteuliwa na Pinda viti maalumu uchakachuzi ccm sumbawanga mjini.Nawasilisha
   
 5. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kumbe tuna mbunge wa kupiga
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Sina cha kuongeza au kupunguza.
   
 7. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Swali la nyongeza hili! Mwenye jibu,tunaomba alianike hapa! Kwani wengi tuna hamu ya kujua hilo!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  CV inauliza kabla hujaajiri mtu, sasa wewe waiulizia leo, ulikuwa wapi?
   
Loading...