Tanzania bila uwongo haiwezekani

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Serikal inadai haina pesa wakat wanaongeza posho kwa wabunge?Na km ukwel kwa mujbu wa tangazo la T.R.A,tena wamempa muuza sura maarufu nchin JK,na anasema hv;kila unaponunua k2 chochote chenye vat unalpa kodi,sasa hzo kod za kila cku harafu bado wanadai haina hela.
 
Jamaa wa TRA saizi wanagawana pasu kwa pasu na Serikali...

Wanachukua chao mapema. We unafikiri wanafurahia wabunge kuongezewa posho?? Tunaoumia ni sisi walipa kodi.
 
Back
Top Bottom