Uongozi ni Taabu Tu!!!!-Mizengo Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi ni Taabu Tu!!!!-Mizengo Pinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Jan 30, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,756
  Trophy Points: 280
  ......."Hakuna chochote unachopata ...taabu tu.........hulali usiku...mimi sitaki kabisa, nikimaliza naenda kufuga kuku...."

  Haya ndio baadhi ya maneno ya mtot wa mkulima......ni kweli hapati kitu????
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  angekuwa hapati kitu anagelia siku anaambiwa bungeni ajiuzuru kwa kusema wauwaji wa albino wauwawe....hili zee liongo ka nini.....We pinda weweunasema uongozi tabu wewe....tunakujua fika toka uwe waziri mkuu umeng'aa carolite za kumwaga na nivea mpaka kwenye kucha ..we pinda wewe msalie mtume mzee wangu kweli hupati kitu wewe? hahaaa haya bana
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  We chezo umenichekesha kweli , hapo ndo katumia carolite na nivea?? Kabla alikuwa anatumia bodyline au vestline? Loh kumbe ndo mana kila m2 sasa anataka kuwa mwanasiasa, ni biashara ambayo inalipa mno kuliko zote hapa bongo
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Yeye alidhani uongozi ni kula bata na kutalii. Huyu mzee anazeeka vibaya. Haihitaji mtu ufike ikulu ndo ujue uongozi ni mzigo.

  Wewe aanzia tu uongozi wa familia. Ni lazima kichwa ifanye kazi.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kweli huyu mzee ni green snake in green grass! Sasa c aachie wengine kama ye anaona uongozi ni mzigo? Kwli hii ni kauli ya dharau kwa watanzania! Hawa mabwana wanatuona sisi ni vilaza mbaya hadi wanaongea hivyo!!!
   
 6. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  halafu aliemtaka ajiuzulu ni mpiganaji bwana hamad rashid ambae leo wabaya wake wanasema pinda alikua anamtumia,mi siasa ndio inaponishindia hapo
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Inamaana alivyokubali alikubali kichwa kichwa bila kufanya uchunguzi?
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Yeye alidhani uongozi ni nini?
  Hata huko kwenye uongozi wa shamba la kuku asitegemee staarehe
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  si aache
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Msanii wa kibisa huyo
   
 11. OPTIMISTIC

  OPTIMISTIC Senior Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uongozi ni tabu, once you feel yourself incompetent, esp when you fail to deliver what the majority expected from you. I think he should not wait he has best option ever "resignation"
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hasa ukiwa unatoa maamuzi ya ajabu ajabu atazidi kuona uongozi mgumu na atajuta zaidi
   
 13. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kama kazi imekushinda c uiache unapata taabu ya nini we mzee acha unafiki.
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wanasiasa wa bongo bana
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  No more to add bro/sister!
   
 16. MANI

  MANI Platinum Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Malimu anategemea hawa kuku wa kiswahili kazi yako ni kufungua na kufunga mlango asubuhi na jioni !
   
Loading...