Updates kutoka MUHIMBILI: Madakitari WANYWEA warudi makazini

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wakuu nipo hapa Muhimbili madakitari wamarejea na kufanya kazi kama kawaida
naona na wagonjwa wanamiminika kwa wingi

Sijajua Hospitali nyingine inakuwaje

Wenye updates from Mwananyamala na amana watujuze

Update....................8.40pm

Muhimbili huduma zimeanza kuzolota wanajeshi ndo wako wodini lakini hakuna ushirikiano na manesi
Madoctor wengine wako wanazurula wengine wko nyumbani..............Mgomo bado unaendelea....Madoctor wengi
wanaojiwa na wanausalama( do not qoute me)
 
Ni wepi hao uliowaona?usije ukawa umewaona wanafunzi wako kwenye rotation then ukadhani kuwa ma-drs wamerudi kazini.ngoja kidogo nitawataarifa maana kuna dr ndo anaenda hapo muhimbili,ila kwa taarifa nilizonazo bado tools down
 
Na huduma ya emegency imerudi kama kawaida watu wanapata huduma kama kwaida
 
Wa ukenyenge vipi wewe huna updates?mpigie basi wa Kolandoto au wa Negezi au yule wa Wila akujuze kisha utujuze zaidi
 
Wamelipwa? Au ndiyo yale yale ya kwenda kufanya kazi lakini morali haiko. Tuna safari ndefu sana.
 
Wakuu nipo hapa Muhimbili madakitari wamarejea na kufanya kazi kama kawaida
naona na wagonjwa wanamiminika kwa wingi

Sijajua Hospitali nyingine inakuwaje

Wenye updates from Mwananyamala na amana watujuze

ni bora wangeendelea na mgomo kuliko kurejea kazini na huku hawajatekelezewa malalamiko yao.
Wataendeleza mgomo baridi ambao utakuwa mbaya na wenye madhara makubwa zaidi ya huu.
 
Na huduma ya emegency imerudi kama kawaida watu wanapata huduma kama kwaida

Idara ya emergency (EMD) wamekabidhiwa wanajeshi...hawajavaa magwanda tu, lakini sio madaktari wa Muhimbili! Hata hivyo, wanajeshi hao hawana ushirikiano toka kwa manesi, na hivyo ufanisi wao utakuwa wa kusuasua!

Lakini cha kushangaza ni kuwa, kwa nini walete wanajeshi Muhimbili toka Lugalo? Kwani pale Lugalo si kuna hospitali, kwa nini tu wasishauri wananchi waende Lugalo?!

Propaganda....
 
Wakuu nipo hapa Muhimbili madakitari wamarejea na kufanya kazi kama kawaida
naona na wagonjwa wanamiminika kwa wingi

Sijajua Hospitali nyingine inakuwaje

Wenye updates from Mwananyamala na amana watujuze
Asante Kupeng'e kwa taarifa hii ya matumaini.

Haya mode wa jf, ihamishie na hii thread kule kunakoonyesha mgomo inaendelea, kama ulivyokuwa unafanya jana kwa kila thread ya kuonyesha baadhi ya sehemu ambazo mgomo uliisha.

Hii thread ikibaki hivi hivi ilivyo, watu watadhani mgomo unaanza kuisha wakati ni nia ya jf mgomo uendelee!.
 
U

Malaria Sugu likes this post
 
Malaria Sugu likes this post
Huyo ndio kanjanja Pasco kama mlikuwa hamumjui mwaka huu yeye hataki unafki, njaa yake ameamuwa kuivalia kibwaya kabisa, yaani anajifanya hajui kwamba ID ya Marelia Sugu imepigwa ban sasa hii Kupeng'e ni ID mbadala.
 
Asante Kupeng'e kwa taarifa hii ya matumaini.

Haya mode wa jf, ihamishie na hii thread kule kunakoonyesha mgomo inaendelea, kama ulivyokuwa unafanya jana kwa kila thread ya kuonyesha baadhi ya sehemu ambazo mgomo uliisha.

Hii thread ikibaki hivi hivi ilivyo, watu watadhani mgomo unaanza kuisha wakati ni nia ya jf mgomo uendelee!.

Unalipwa!?
 
msimuondoe malaria Sugu kwani ni mfarahisha GENGE la wahuni kama yeye ili awaliwaze wanaomuunga mkono na upupu wake
 
Jamani wadau mbona mnampinga tu mtoa hoja bila kutoa taarifa zenu kuhusu mgomo,yeye anasema yupo Muhi2 basi na nyie tupeni za kwenu tuujue ukweli kuliko kupinga tu!!
 
Idara ya emergency (EMD) wamekabidhiwa wanajeshi...hawajavaa magwanda tu, lakini sio madaktari wa Muhimbili! Hata hivyo, wanajeshi hao hawana ushirikiano toka kwa manesi, na hivyo ufanisi wao utakuwa wa kusuasua!

Lakini cha kushangaza ni kuwa, kwa nini walete wanajeshi Muhimbili toka Lugalo? Kwani pale Lugalo si kuna hospitali, kwa nini tu wasishauri wananchi waende Lugalo?!

Propaganda....
Mkuu Riwa, kwa vile watu humu tumehamanika sana na mgomo huu ili serikali ikomeleke, wanakufa na kuteseka na mgomo huu sio waserekali bali ni wananchi wenzangu na mimi!.

Alichosema mleta mada ni amewashuhudia madaktari hapo Muhimbili kwa macho yake na huduma zinaendelea!. Sasa hizi taarifa ni madaktari wa wapi na hawapati ushirikiano, hayo ni mengineyo, la msingi madaktari wapo na wanatoa huduma!. Sasa kila hoja msizopenda kuziita ni propaganda sio haki kwenye serious issue kama kutumia roho na life za watu masikini wa kutupwa kama bargain proin ya kudai maslahi bora!.

Serikali imefanikiwa ku defuse huu mgomo na at the end of the day kutakuwa na winners na loosers, madaktari wata loose lakini the biggest loosers ni wale waliolipia kwa roho na maisha yao kwa ajili ya upuuzi wa wachochezi wachache na serikali jeuri na kiburi isiyokubali kuwanyenyekea walioshika mpini wa roho za Watanzania!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom