Mimi nanii bana...mimi nanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi nanii bana...mimi nanii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chereko Chereko, Jan 31, 2012.

 1. C

  Chereko Chereko Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maana ikiwa tumerukwa akili zetu ni kwa ajili ya nani? Au ikiwa tunazo akili zetu timamu ni kwa ajili ya nani? Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, tuwe wakweli, tuwasaidie wenye shida na kutumia utajiri wetu katika kuwainua wengine.

  Kila mmoja wetu kwa nafasi yake, tuwe na upendo, tusiwe na chuki na kufanyiana visasi. Tuwe wepesi wa kusamehe, tuepuke kudharauliana. Ndio heshima na utu ndugu zangu. Nawapenda wote, marafiki kwa maadui, nawatakia maisha marefu yasiyo na wingi wa dhiki, nawatakia pia afya njema kwenu nyote.
   
Loading...